Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Kuna makosa madogo madogo sana kama yatarekebishwa tutakuwa na timu nzuri,sana sana kwenye maamuzi ya mwisho ya mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kocha inabidi awarudishe darasani wachezaji wetu kwenda kuwafundisha upya jinsi ya kutoa pasi. Naona walikuwa na nafasi nyingi tu ya kujenga mashambulizi ya magoli lakini utakuta mtu anatoa pasi mbovu au anaenda kuachia shuti la mbali bila sababu.
Inakuwaje mtu hauko kwenye msukosuko wowote unashindwa kutoa pasi ya uhakika?
Ni mechi yake ya mwisho kuhuzulia kama rais ndiyo maana alienda kuuza suraMheshimiwa rais kawapungia mashabiki na alikuwa anasalimiana na wachezaji kwa kugongeshana mabega (ushkaji?) na anatabasamu muda wote
Afadhali umeliona hili la pasi. Mi nimeona mengi..kuna ball control mbovu, kutaka kudribble bila sababu, kushoot bila sababu, positioning mbovu..yaani kila kosa wamelifanya. Naona wachezaji wetu wana-lack vitu vya msingi kabisa, tena karibia vyote. Nionavyo kuweza kupata timu competitive kwa hawa wachezaji tulionao ni ndoto..ni vema kuelekeza nguvu kwene michezo mingine tu..
Truth hurts..
kweli aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMaadamu kikwete yupo kwa kiwanja hakuna goli hapo
Hahahahaaaaaaaaaaa............... Umeliona hilo ehhh. Nilifikiri ni mie peke yangu.
Mkubwa..hili tatizo la soka mi naona ni sugu sasa ni wakati wa kunyoosha mikono! Kufungwa ndio ni sehemu ya mchezo, lakini kufungwa repeatedly and dissapointingly, over and over, haikubaliki kwa mzani wowote ule. Nadhani at some point a man has to do something about it. Sio siri tena.Niliangalia hii mechi naona bado tuna safari ndefu, kama alivosema Abdulhalim kwenye ufundi (technical abilities) timu yetu ilikosa kila kitu!! wachezaji ni butuabutua, tackles mbovu, hakuna ball control, positioning yaani sikuamini macho yangu, hawa wachezaji wetu ilionekana kama tumewaokota kwenye ligi zile za vijiweni. Tuna wachezaji wana uwezo ila sijui woga ama system ya kocha? Ni afadhali hata ile timu ya Maximo