Tanzania Tena! Waisrael waja kufanya uwekezaji Mkubwa wa Mahoteli Zanzibar

Tanzania Tena! Waisrael waja kufanya uwekezaji Mkubwa wa Mahoteli Zanzibar

Usiuharibu uzi huu, lengo la mleta uzi ni kutupa habari njema za Wawekezaji kuja Tanzania Visiwani.

Sasa wewe unataka kuugeuza huu uzi uwe wa mabishano ya Dini.

Kwanini usianzishe uzi wako tuje kuchangia.
Amejaza funza kichwani
 
Back
Top Bottom