joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #141
Huo upumbavu wenu ndio uliowafanya mkawekwa katika kundi la "Failed states", kama wagonjwa mumeamua wakatibiwe nyumbani "under home based care program", iweje hao watu wenye kuhisi kuwa wameambukizwa mshindwe kuwaweka under isolation" wakiwa NYUMBANI?, ninyi hamna akili zenu hadi muambiwe na wazungu?Mjinga wewe.
Mtu mmoja anakutana na watu zaidi ya mia moja kwa siku. Hao mia moja wanakutana na mia moja wengine.
Utaweka wote quarantine?
Isolation ni ya waliotokea positive.
Lazima test ifanywe ili walio negative waendelee na maisha yako.
Hio ni basics ya kutumia ubongo. Lakini hamna.