Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, wenzetu wanaanzia elimu ya nidhamu kwenye "root cause", sisi tusijaribu kuanza kutibu kwa kuanzia kwenye matawi, ni kama tutakuwa tuna "prune" ili (mabovu) yamee kwa kasi.Ni kweli. Tatizo ni KUBWA SANA.
Tukikubali kujifunza kutoka kwa wenzetu naomba tuanzie na JAPAN & SOUTH KOREA. Hawa jamaa kuhusu Nidhamu (Discipline) nimewavulia kofia.
If we really need to learn, then we better get it from the Best.
Mfumo wetu wa Elimu unahitaji Marekebisho Makubwa sana na lazima yawe Magumu kuyapokea ila tutajivunia matunda mazuri sana baadaye tukifanikiwa kuwakunja 'Samaki' wangali wabichi.Yes, wenzetu wanaanzia elimu ya nidhamu kwenye "root cause", sisi tusijaribu kuanza kutibu kwa kuanzia kwenye matawi, ni kama tutakuwa tuna "prune" ili (mabovu) yamee kwa kasi.