Yes, wenzetu wanaanzia elimu ya nidhamu kwenye "root cause", sisi tusijaribu kuanza kutibu kwa kuanzia kwenye matawi, ni kama tutakuwa tuna "prune" ili (mabovu) yamee kwa kasi.
Yes, wenzetu wanaanzia elimu ya nidhamu kwenye "root cause", sisi tusijaribu kuanza kutibu kwa kuanzia kwenye matawi, ni kama tutakuwa tuna "prune" ili (mabovu) yamee kwa kasi.
Mfumo wetu wa Elimu unahitaji Marekebisho Makubwa sana na lazima yawe Magumu kuyapokea ila tutajivunia matunda mazuri sana baadaye tukifanikiwa kuwakunja 'Samaki' wangali wabichi.
Ume base upande mmoja mbona hujasema kuhusu serikali kuchelewesha maslahi ya hao watumishi? Au kulipa fedha zisizoendana na Hali ya uchumi? Ungeandika na kwa upande wa serikali isipotimiza wajibu wake kwa watumishi ichukuliwe hatua Gan?
Otherwise utakuwa na chuki tu