Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar

Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi.

Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana wazi hata kwa sisi tusiokuwa wanasiasa wala wachumi kuwa dollar itapungua umuhimu wake siku chache tu zijazo. Tuanze kufikiria kuongeza akiba yetu ya ununuzi na uhifadhi wa dhahabu bala ya kurundika US Dollar.

Nchi zote zenye akili zimeanza mchakato huu, sisi pia tusisubiri tusikie filimbi ndio tuanze kuongeza akiba yetu ya dhahabu. BoT iwe mnunuzi mkuu wa dhahabu yetu nchini na hata nyingine kutoka nje kama ni bora zaidi ya kwetu.
 
Kuikwepa dollar inakuwa ngumu sana. Na ulimwengu kwa sasa unaondoka kwenye kuifanya dhahabu kuwa kigezo cha thamani ya fedha kwa nchi husika. Hata dolla kwa sasa haipimwi thamani kwa kigezo cha wingi wa dhahabu ulioko kwenye akiba ya Marekani.

Uchina ndiyo nchi inayoongoza kwa kununua amana na hatifungani za Benki Kuu ya Marekani kwa ivo kila dollar iliyoko mtaani mchina naye ana hisa zake. Uchumi kwa sasa unapimwa kwa kuzalisha na kuuza na fedha inayowezesha kununua kokote duniani ni dollar na siyo dhahabu.

Kwa ivo kama unataka kufanya manunuzi duniani badala ya kuwa na dhahabu utatakiwa kuwa na Dollar, kwa mfumo huo ni heri kuwa na akiba ya dollar badala ya kurundika dhahabu. Ingawa pia akiba ya dhahabu inahitajika.
 
We are living in a con World mkuu.Tumechakachua au tumechakachuliwa kiasi kwamba sidhani itakuwa rahisi kutoka kwenye mess tuliyopo.Hela tunayotumia the T.sh.sio yetu,we are loaned and paying interest! Ideally a commodity kama Silver or Gold ndiyo iliyotakiwa kuwa medium of exchange.Printed paper or Fiat Money in reality is rubbish,and cannot be a medium of exchange.To me it is not even worth the paper it is printed on

Sasa how do we get out of this terrible mess we have put ourselves in.Tutumie The T.sh.lakini tui-peg to Gold.Sasa Bank of Tanzania ni mali yetu,au ni ya the Rothschilds?Kama Bank of Tanzania sio mali yetu,itakuwa vigumu or impossible kuyarekebisha mambo kama tunavyotaka.Inaweza pia kuwa vigumu kurekebisha mambo kama mfumo wetu wa fedha haujitegemei,unatawaliwa na mabeberu.😭

Naomba ikumbukwe kwamba upo mpango wa ku-overhaul the World Economic System during the WEF January 16th-20th Annual Meeting at Davos ,kwa hiyo Tanzania haitakuwa tena na uwezo wa kufanya mambo yake independently.

Naomba nirudie,tumeshavurugiwa na tumeshavuruga sana mambo yetu.Lakini "ideally" our best option was to peg our T.sh. to Gold or Silver.Yaani,the amount of money in circulation in Tanzania iwe sawa na ukubwa wa uchumi wetu na sawa na the value of our Gold reserve at BoT.This is the ideal situation.

Unaweza usielewe kabisa niliyoandika hapo juu,kama wewe ni mhanga wa "Con Economics."

THE WEF DAVOS 16th -20th ANNUAL MEETING

Switzerland to Deploy 5,000 Army Troops to protect World Economic Forum Meeting in Davos​

WORLD HAL TURNER 10 JANUARY 2023 HITS: 320
Switzerland to Deploy 5,000 Army Troops to protect World Economic Forum Meeting in Davos

The Swiss army will deploy 5,000 troops ahead of the World Economic Forum’s next meeting in Davos. Authorities indicated the troops were authorized to utilize coercive police measures to fulfill their security mission.
“The Federal Parliament has set a ceiling of 5,000 troops who will serve in support during the WEF, which will run from January 10 to 26. Some of them will be stationed directly in Davos, where the annual meeting will be held from January 16 to 20,” the statement read.
According to the statement, other servicemen will provide logistics and air force operations support throughout Switzerland. Soldiers will be authorized to “use coercive police measures to carry out their respective tasks,” the government said.
There will also be snipers on the roofs of most buildings, and in previous years the Swiss Police have shot drones from the sky.
The WEF predicts that soon everyone will be able to ‘rent’ anything they need under the cover of ‘sustainable development’ (SDGs) and ‘saving the planet’ (Net Zero). There is no doubt that the tiny elites who rolled out the Great Reset will own it all.
The number of participants in the forum is currently unknown. German Chancellor Olaf Scholz, Spanish Prime Minister Pedro Sanchez, Ecuadorian President Guillermo Lasso, and Colombian President Gustavo Petro will attend the Davos forum personally, according to the latest information. Keir Starmer and Rachel Reeves will also be attending.
Zelensky will also speak at the World Economic Forum’s Davos meeting alongside CNN anchors and NATO chiefs.
Only distinguished delegates were allowed to fly in and out of Davos last year due to a no-fly zone.
There has been fierce opposition to the WEF’s extremist agenda, including The Great Reset, Build Back Better, and You’ll Own Nothing and Be Happy. The WEF is now feeling the heat. In response to those who oppose its techno-tyranny, it has waged a defensive PR campaign recently. The World Economic Forum also recently canceled its Twitter feed in favor of Chinese state-run social media:
1. “What we have to confront is a deep systemic and structural restructuring of our world, and the world will look differently after we have gone through this transition process (Great Reset)” – Klaus Schwab B20 Summit Indonesia 2022 Opening Remarks 14.11.2022. pic.twitter.com/H7AL0uCQXN — SikhForTruth (@SikhForTruth) November 15, 2022
Klaus Schwab gave the opening remarks in November at the B20 event. He said that “What we have to confront is a deep systemic and structural restructuring of our world, and the world will look differently after we have been through this transition process” (aka the Great Reset).
The coronavirus pandemic has been the vehicle for the Great Reset conceived by Klaus Schwab of the WEF. Globalists intend to eradicate all borders, dismantle the free market, and drastically reduce the global population.

We are living in a con World mkuu.Tumechakachua au tumechakachuliwa kiasi kwamba sidhani itakuwa rahisi kutoka kwenye mess tuliyopo.Hela tunayotumia the T.sh.sio yetu,we are loaned and paying interest!Sijui kama utanielewa. Ideally a commodity kama Silver or Gold ndiyo iliyotakiwa kuwa medium of exchange.Printed paper or Fiat Money is rubbish,and cannot be a medium of exchange.To me it is not even worth the paper it is written on.Sijui hapa pia kama utanielewa.

Sasa how do we get out of this terrible mess we are in.Tutumie The T.sh.lakini tui-tag to Gold.Sasa Bank of Tanzania ni mali yetu,au ni ya the Rothschilds?Hapa pia unaweza usinielewe.Kama Bank of Tanzania sio mali yetu,itakuwa vigumu kuyarekebisha mambo kama tunavyotaka.Inaweza pia kuwa vigumu kurekebisha mambo kama mfumo wetu wa fedha haujitegemei,unatawaliwa na mabeberu.😭

Naomba ikumbukwe kwamba upo mpango wa ku-overhaul the World Economic System sometimes this January at Davos by the World Enonomic Forum,kwa hiyo Tanzania haitakuwa na uwezo tena wa kufanya mambo yake independently.Kama utanielewa hapa pia Sijui.

Naomba nirudie,tumeshavugwa na tumeshavuruga sana.Lakini "ideally" our best option was to peg our T.sh. to Gold or Silver.Yaani,the amount of money in circulation in Tanzania iwe sawa na our Gold reserve at BoT.This is the ideal situation.Unaweza usinielewe kabisa kama wewe ni mhanga wa "Con Economics."
Mkuu mbona kila kitu unaweka sijui tutakuelewa
Haya sasa hatujakuelewa amua la kutufunya
Yaan sentensi mbili tu looh sijui kama mmenielewa sijui nini!!
Wewe andika achia server wala huhitaji kujua kuwa umeewleweka au laaah
 
Enzi ya Magufuli tulianza kuhifadhi dhahabu.
 
Mkuu mbona kila kitu unaweka sijui tutakuelewa
Haya sasa hatujakuelewa amua la kutufunya
Yaan sentensi mbili tu looh sijui kama mmenielewa sijui nini!!
Wewe andika achia server wala huhitaji kujua kuwa umeewleweka au laaah
Mkuu haya mambo kwa mtu ambaye anategemea Economics ya Chuoni,ambayo imechakachuliwa sana, si rahisi kuyaelewa.One needs to take personal effort kusoma,ili kuyaelewe,kwa kuwa hayafundishwi,ndio maana natoa angalizo.Hata hivyo inasikitisha kwamba mtu wa Chuo Kikuu hajui hata kwamba kuna kitu kinaitwa Fiat Currency,na kwamba mfumo wa pesa uliopo sasa ni fake.
 
Wasije nunua ile feki tu.
Kipindi cha mzee Ruxa, benki kuu ilianza kununua dhahabu na kuhifadhi,, 😁,kilichotokea sasa... Wabongo ni wezi sana,,
Hata nchi nyingine kubwa hawawezi hifadhi dhahabu kwa usalama,, huwa wanapeleka Fort Knox, US,,
Hata hapo mwisho wa siku mmarekani akitaka anakudhulmu,, kama ilivyotokea kwa dhahabu za venezuela, silizokuwa zimehifadhiwa, US
 
Mkuu haya mambo kwa mtu ambaye unategemea Economics ya Chuoni si rahisi kuyaelewa.Ndio maana natoa angalizo.Inasikitisha kwamba mtu wa Chuo Kikuu hajui hata kwamba kuna kitu kinaitwa Fiat Money,na kwamba mfumo wa pesa uliopo sasa ni fake.
Mkuu so wewe kwa akili yako unataka kila mtu wa chuo kikuu ajue nini maana ya fiat money? Je nikisema ni pesa zinazotokana na lile gari la kizamani ntakuwa siko sahihi? Wewe unajua maana ya Static Class? Mfano ukijibu ni darasa lililosimama au ambalo halitembei utakuwa umekosea? Lakini je hayo ndiyo majibu sahihi kwa kila professional?
 
Umejifunza Economics gani kama hujui kwamba Fiat Money is a fake medium of exchange,kwa kuwa medium of exchange ndio msingi wa Economic activities!!!!
 
Kipindi cha mzee Ruxa, benki kuu ilianza kununua dhahabu na kuhifadhi,, 😁,kilichotokea sasa... Wabongo ni wezi sana,,
Hata nchi nyingine kubwa hawawezi hifadhi dhahabu kwa usalama,, huwa wanapeleka Fort Knox, US,,
Hata hapo mwisho wa siku mmarekani akitaka anakudhulmu,, kama ilivyotokea kwa dhahabu za venezuela, silizokuwa zimehifadhiwa, US
Mm,mawazo mengine, kwa hiyo tutegemee US kuhifadhi dhahabu yetu,unthinkable.Kwani wao wanawezaje.Mbona ni swala la kuweka tu misingi imara.

Wizi wa Marekani kama serikali is institutionalized.Wanaiba resources all over the World,Congo DRC,Syria,Libya,Nigeria etc.etc.Ukiona mahali pana kikundi cha kigaidi ujue wanaiba resources huko,how can you trust them.

Halafuu,mmesahau mara hii US walivyoiba dhahabu ya Urusi? Ukigombana nao tu they confiscate your Gold,Money or Silver,they are not dependable atall.
 
Mm,mawazo mengine, kwa hiyo tutegemee US kuhifadhi dhahabu yetu,unthinkable.Kwani wao wanawezaje.Mbona nibswala la kuweka tu misingi imara.Wizi wa Marekani kama serikali is institutionalize.Wanaiba resources all over the World,Congo DRC,Syria,Libya,Nigeria etc.etc.Ukiona mahalibpana kikundi Cha kigaidi ujue wanaiba resources huko.

Halafuu,mmesahau Mara hii kwamba US walivyoiba dhahabu ya Urusi? Ukigombana nao tu they confiscate your Gold,Money or Silver,they are not dependable atall.
Nchi nyingi hata za ulaya wanahifadhi dhahabu US
 
Nchi nyingi hata za ulaya wanahifadhi dhahabu US
Ni wajinga,the US sio dependable ni wezi.Nchi yeyote kuhifadhi dhahabu yake US,baada ya kuona walichofanyiwa Urusi na wanayofanya duniani kote,viongozi wake watakuwa wajinga.

Serikali ya Marekani inaongozwa na majambazi na wezi.Infact niseme Marekani kuweka dhahabu za nchi zingine ni strategy ya wizi.Tumeshuhudia dhahabu za nchi nyingi zikipotea in thin air katika Vault ya Bank of England,very recently,ikiwa ni pamoja na dhahabu ya Urusi na fedha.Sijui hata hilo sekeseke liliishia wapi.
 
Mkuu haya mambo kwa mtu ambaye unategemea Economics ya Chuoni si rahisi kuyaelewa.Ndio maana natoa angalizo.Inasikitisha kwamba mtu wa Chuo Kikuu hajui hata kwamba kuna kitu kinaitwa Fiat Money,na kwamba mfumo wa pesa uliopo sasa ni fake.
Duh !! Mfumo fake ?? Hebu tudadavulie kidogo Mkuu
 
Kuikwepa dollar inakuwa ngumu sana. Na ulimwengu kwa sasa unaondoka kwenye kuifanya dhahabu kuwa kigezo cha thamani ya fedha kwa nchi husika. Hata dolla kwa sasa haipimwi thamani kwa kigezo cha wingi wa dhahabu ulioko kwenye akiba ya Marekani.

Uchina ndiyo nchi inayoongoza kwa kununua amana na hatifungani za Benki Kuu ya Marekani kwa ivo kila dollar iliyoko mtaani mchina naye ana hisa zake. Uchumi kwa sasa unapimwa kwa kuzalisha na kuuza na fedha inayowezesha kununua kokote duniani ni dollar na siyo dhahabu.

Kwa ivo kama unataka kufanya manunuzi duniani badala ya kuwa na dhahabu utatakiwa kuwa na Dollar, kwa mfumo huo ni heri kuwa na akiba ya dollar badala ya kurundika dhahabu. Ingawa pia akiba ya dhahabu inahitajika.

Gavana akiongea na wafanyakazi wizara mambo ya nje

Umahiri wa gavana Prof. Benno Ndulu akizungumzia mada mbalimbali kwa lugha nyepesi kwa wasio na uelewa mpana wa masuala ya uchumi n.k

Financial dollarization nchini Tanzania toka mwaka 1992 nchi ilipofunguka

Sababu ya watu kutoipenda sarafu / currency yao mfano shilingi, kwacha, cedi Zimbabwe dola n.k na threshold ya 30% ya matumizi ya fedha ya kigeni mfano USS$ dola ya marekani ina maana gani katika uchumi wa nchi

Transaction dollarization .... kuporomoka kwa thamani ya shilingi ndiyo kunafanya watu kukimbilia kwenye matumizi ya dola na siyo kinyume chake anasisitiza Prof. Benno Ndulu ...

Madhara ya kuweka fixed exchange rates kule Malawi n.k yalisababisha sarafu ya dola ya Kimarekani kupotea ... Rais Mzee Ali H. Mwinyi alipewa fungate ya kukuta kikapu kikiwa na dola chache benki kuu pia Zambia walijaribu kudhibiti kiwango cha thamani ya kubadilishana kwacha kwa dola, cha moto walikiona ... hivyo sera hii Prof. Benno Ndulu anasema ...

Utafiti wa bei za bidhaa na huduma kujua wafanyabiashara Tanzania wanapaga bei kwa kuzingatia sarafu ya dola ya marekani au shilingi? Utafiti wa BoT prof. Ndulu ulifanyika Dsm, Moro, Mwz, Arusha, Zanziba, Mjini Magharibi, Pemba Kaskazini na kusini na kubaini kuwa ... nchini Tanzania kote Bara na Zanzibar ... lakini maeneo ya Masaki, Mikocheni, Upanga

masuala ya hati fungani, sarafu ya dola ya marekani , mafuta gesi kilimo ...

Uchumi wa Marekani unaongoza uchumi wa dunia.....

Teknolojia ya Marekani kupata Gesi na mafuta kutoka katika mawe badala ya baharini au jangwani ...

Bidhaa za viwanda vya ndani lakini malighafi wanaagiza kwa dola ya marekani ...
 
Back
Top Bottom