Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar

Ni sawa kabisa! lakini nina wasiwasi makuwadi wa mabeberu hawataafiki. Gadafi alihamasisha hili lakini alikipata kwa usaliti wa wenzake.
 
And the truth is, bank system is regulated and owned by the Rothschilds that's why its not easy to change the banking system that easily. This is why there has been movements to decentralize monetary systems with cryptocurrency.
 
And the truth is, bank system is regulated and owned by the Rothschilds that's why its not easy to change the banking system that easily. This is why there has been movements to decentralize monetary systems with cryptocurrency.
It's true,there are plans to start using a global e-currency.The Rothschilds are the masterminds.Trial runs have already been started by the Federal Reserve with the largest five Banks in the US.So I guess it's just a matter of time before a global e-currency is in place.What it will be called I do not know,but the Federal Reserve is using the e-US$ in its' trial run.
 
Well, we'd better brace ourselves and prepare for things to come.
 
Well, we'd better brace ourselves and prepare for things to come.
Yajayo yanafurahisha mkuu.You know what, the global e-currency will be a medium of exchange but also a tool of control.If you do not comply with the rules of the Global Government,which will be extremely evil,they will immediately ban you from participating in the Global Economy,that is, you will not be able to buy or sell.
 
Well that would be quite devastating, let's keep struggling to get an upper hand towards the future.
 
Ningependa kujifunza maana ya haya maneno katika uchumi;

1. Amana na hati fungani

2. Cryptocurrency

3. Pia, ni jinsi gani dhahabu inakuza/tunza thamani ya fedha
 
Tatizo ni moja, kila mtu anasema elimu yetu imeshuka sana na haifai lakini anasahau kuwa hata yeye anaesema elimu imeshuka ni mhanga wa elimu hiyohiyo mbaya. Hii ni kusema kuwa Tanzania haihitaji kuongozwa na mtu mwenye elimu kubwa ambayo haifai/fake. Tunahitaji mtu tu mwenye uthubutu wa kutenga vitu sahihi kwaajili ya taifa bila kujali elimu yake. Elimu yetu hii imeshindwa kuliokoa taifa dhidi ya mikataba mibovu, elimu yetu hii imeshindwa kutengeneza hata baiskeli, hata professor anashindwa kujiajili mwenyewe sembuse kuwa na maono ya wapi dunia na uchumi vinaelekea na nini kifanyike leo na sasa hivi? Tunasoma kwa kukariri, eti ili uwe professor lazima ufanye tafiti nyiingi (fake) ambazo hazisaidii kutatua shida za wananchi, ni za makabatini tu na kupata PhD na uprofessor. Yaani mwanafunzi hajui na aliyemsimamia hiyo research hajui, yaani mwalimu na mwanafunzi wote hawajui sawasawa, ni maprofessor lakini.... Kwakuwa professor pia hana uhakika na anachokijua ndio maana ni rahisi kukimbilia kwenye siasa aende akapunzike kama wengine tu, hana impact kwenye sehemu aliyowekwa na wanasiasa. Nina uhakika Mama Samia hana elimu kuuuubwa sana, ana elimu ya kuungauunga fulani hivi, hivyo kama akitaka anaweza kulivusha taifa hili mbele. Ona kazi za Kishimba, Musukuma, majimarefu, nk wasio na elimu kubwa wanafanya kazi kubwa majimboni mwao.

Hivi kujua uzuri na faida ya kurundika dhahabu nyingi BoT kama akiba imara kunahitaji uwe na PhD? Kuweka tone moja ya ruby kwenye hazina yetu kunahitaji uwe msomi sana?
 
Kavulata umeongea maneno mengi mazuri kuhusu ubovu wa elimu yetu.Sasa imagine mtu anayeitwa Professor anayeamini kwamba paper money,kwa kuwa imeandikwa "legal tender," basi it is the ideal medium of exchange,wala hajui kwamba overnight wahuni wanaweza kushusha thamani yake to zero,because it is backed by nothing,that is, it is Fiat Currency.That is a fake Professor.Imagine Professor anayeamini kwamba the T.sh.ni hela yetu,kumbe ni hela ya akina Rothschild,andl that we are loaned and we are paying interest!Imagine Professor asiyejua the implications of a countries' Central Bank being owned by a foreign entity.

Angalia Marekani inavyoyumbishwa kiuchumi because the Federal Reserve is owned by the Rothschilds,and not by the US government.

Mayer Amschel Rothschild once said
"Let me issue and control a nation's money and I care not who writes the laws." And that is exactly what the Rothschild are doing to most World nation's with the exception of a few three or four.Sasa how many Professors know this,very few.

A Central Bank being owned by a foreign entity ina alot of implications on how a country performs economically and how you interpret the economic performance of that country.
 
shida ni kubwa kuliko watu wanavyodhani, ninawaona watu wako bise wanaandika eti mitaala mipya ya elimu, nikachekaaa hadi basi. Nikajiuliza ni nani anaeiandika hiyo mitaala ambae hakutokana na mitaala tunayoilamu? Ataaandika nini huyu wakati yeye mwenye ni mhanga wa mitaala anayoituhumu, ni kwa vipi chupa itaweza kujisogeza yenyewe? ni kwa vipi unaweza kusukuma gari ukiwa ndani ya gari? Mitaala hiyo itafundishwaje? na nani?

Kama watu wanapenda elimu kama ya wachina ni bora mkawaita wachina waje wawandikie mitaala kisha watoe walimu wa kuja kuwafundisha walimu watakaofundisha wanafunzi. Kama tunavutiwa na elimu ya Israel ni heri kuwaita Waisrael kuwa consultants katika uwandishi wa mitaala, kisha muingie mkata nao kuleta walimu wa awali kuja kufundisha walimu watakaowafundisha watoto. Yaani Akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika hiyohiyo kutengeneza solution ya tatizo hilo.
 
Kav
Kavulata tusubiri end game.Waliotuingiza in this mess wanashangilia mafanikio yao,wakati sisi tuonajua what is going on behind the curtain tunalia.The World is very unfair.
 
Interesting I hope this could be the best option.
 
Nakumbuka Muamar Gaddafi katika harakati za kutaka Africa kuwa taifa moja alizungumzia pia wazo la kuwa na sarafu moja ambayo inakuwa backed na Gold.

Na uwezekano wa Tanzania kuwa na Gold reserve kubwa upo Gold ipo nchini lakini ipo pia free Gold kutoka Congo.
 
Dhahabu yenu iko wapi? Ule mgodi wa Tulawaka, ambao tumeshaugeuza shamba la bibi?
Tuheshimu wawekezaji na mikataba tuliyonayo. Dhahabu ya wawekezaji, ni yao. Tusijisahau kama vile hatuna vichwa vya wanadamu
 
Ni kweli mkuu,ndio maana wakamua.They new aki-back the Dinar with Gold,in principle uchumi utakuwa imara sana,inflation will be history,na realistically the US $ will be threatened na Africa haitaihitaji tena Ulaya au Marekani for loans,so Africa will be trully independent.Oh my my,that was hard to swallow.
 
Kwa miaka mingi sana China imekuwa nchi mwekezaji kwenye amana za benki kuu ya Marekani. Kwa hivyo thamani ya Dollar kama pesa inayokubalika Duniani, katika mauzo na manunuzi kwa kiasi fulani nguvu yake imechangiwa na uwekezaji mkubwa wa China kwenye Dollar ya Marekani!

Mabadiliko yanayoenda kutokea miaka michache ijayo yanaanza kuonekana taratibu, uhalisia wake utakuwa bayana miaka kama mitano mbele. China imeanza kupunguza uwekezaji wake kwenye Dollar ya Marekani kwa asilimia 30, tutegemee miaka ijayo uwekezaji huo kupungua zaidi!

Kwa sasa nchi zote zinazoitikisa Marekani hivi sasa zina akiba ya kutosha ya dhahabu na mbaya zaidi nchi za Mashariki ya mbali na zile za BRICS zimeunda kapu la sarafu ya pamoja. Tutegemee kuona sarafu mpya yenye nguvu itakayoiondoa sarafu ya Marekani USD kwenye soko kama sarafu ya Dunia.

Wakati mchakato huu ukiendelea mbele ya macho yetu, ni uzembe kutofikiria kununua Dhahabu ambayo thamani yake ni nadra kuyumba na uhitaji wake upo juu Dunia nzima.

Ni sahihi kabisa kama ilivyo kwenye mada hii kwa Tanzania kuongeza manunuzi ya Dhahabu kama akiba ya nchi. Kutofanya lolote sasa kwa nchi mzalishaji wa dhahabu Duniani ni ujuha usiopaswa kuvumiliwa.
 
Nenda Chato ukazikwe pembeni yake ili hizo dhahabu akupe wewe sukuma gang
Hii ni mada muhimu sana inayoweza kuwaamsha waliolala madarakani, utani kama huu si mahala pake... 😳
 
DW
https://www.dw.com › magufuli-ait...
Magufuli aitaka Benki kuu ya Tanzania kununua dhahabu kama ...

10 Jan 2019 — Rais wa Tanzania John Magufuli ameitaka benki kuu ya Tanzania (BoT) kuanzisha hifadhi ya dhahabu, na amehimiza kwamba serikali yake iimarishe udhibiti katika usafirishaji nje mafini kutoka nchini humo

Tanzania ni nchi ya nne kwa uzalishaji wa dhahabu duniani. Rais Magufuli amesema kuna matatizo mengi katika sekta ya madini na nia yake ni kusimamia sekta hiyo ambayo imekumbwa na madai ya ulaghai na taarifa za uongo katika uwiano kati ya uzalishaji na faida. Serikali ya Tanzania inalumbana na makampuni ya madini ya kigeni yanayojishughulisha na uchimbaji wa madini nchini Tanzania.

Kwenye hafla ya kumwapisha waziri mpya wa madini Dotto Biteko na maafisa wengine wa serikali jijini Dar es salaam, Magufuli alisema kuna umuhimu wa kuanza kununua dhahabu, na kwamba benki kuu inapaswa kuwekeza katika hili ili kuwa na ufanisi zaidi sio tu kwa kuwa na hifadhi ya sarafu ya dola lakini pia hifadhi ya dhahabu.

Siku ya Jumanne, Tanzania ilipata waziri wake mpya wa madini wa tatu tangu Magufuli alipochaguliwa kuwa rais wa Tanzania mnamo mwaka 2015. Sekta ya madini inachangia karibu asilimia 4.8 ya Pato la Taifa.

Hata hivyo haijulikani wazi kama Magufuli anataka kununua madini yote ya dhahabu yanayochimbwa nchini, na hivyo serikali kuidhibiti sekta hiyo pamoja na soko hasa pale alipoitaka wizara ya fedha na benki kuu kuandaa mpango mahsusi.


Mivutano ya muda mrefu kati ya serikali na kampuni ya uchimbaji dhahabu Acacia juu ya malimbikizo ya kodi ya dola bilioni 190 umesababisha kupungua kwa kiwango kikubwa shughuli za kampuni hiyo ya Uingereza inayoendesha shughuli zake katika taifa hilo la Afrika Mashariki.

Mnamo 2017, serikali ya Tanzania ilipitisha sheria ya kuifanyia marekebisho sekta ya madini ambayo wadau kwenye sekta hiyo walilalamikia gharama kubwa na pia waliitaja sheria hiyo mpya kuwa ni kandamizi.

Magufuli alimwonya waziri Biteko kwamba atamwondoa ikiwa atashindwa kutekeleza majukumu yake vizuri na ameongeza kusema kwamba ataendelea kufanya mabadiliko kama viongozi hawatawajibika ipasavyo.

Magufuli pia amemwamuru waziri mpya wa madini wa madini Dotto Biteko kuanzisha vituo katika mikoa yote yenye utajiri wa madini ili kudhibiti soko kama ilivyoagizwa kwenye sheria ya mwaka 2017.

Vituo hiyo viliundwa ili kuzuia ulaghai. Wiki iliyopita, polisi waliwakamata watuhumiwa ambao walijaribu kusafirisha madini yenye thamani ya Shilingi bilioni 30 za Tanzania. Watu hao walikamtawa kwenye mkoa wa Mwanza ulio kaskazini mwa Tanzania.

Source : DW,
Mwandishi: Zainab Aziz/RTRE/AFPE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…