New York Federal Reserve Bank ndo yaongoza kwa kuwa na dhahabu nyingi za nchi nyingi.Kipindi cha mzee Ruxa, benki kuu ilianza kununua dhahabu na kuhifadhi,, [emoji16],kilichotokea sasa... Wabongo ni wezi sana,,
Hata nchi nyingine kubwa hawawezi hifadhi dhahabu kwa usalama,, huwa wanapeleka Fort Knox, US,,
Hata hapo mwisho wa siku mmarekani akitaka anakudhulmu,, kama ilivyotokea kwa dhahabu za venezuela, silizokuwa zimehifadhiwa, US
Hiyo inasaidia katika exchange, hata Tanzania tukitaka trade na dunia inabidi tukazitunze kule New YorkNchi nyingi hata za ulaya wanahifadhi dhahabu US
kudhibiti soko kama ilivyoagizwa kwenye sheria ya mwaka 2017.
Investment: The Role of the World Bank, with. Particular Reference to ICSID and MIGA ....Tumesaini mkataba wa MIGA na wa ICSID. Tutashtakiwa kwa kuvunja mikataba kienyeji kinyume na makubaliano yaliyosainiwa hapo awali baina ya wawekezaji na serikali ya CCM - Tundu Lissu
Shida hatujui kuwa hatujui. Hebu ona mfano huu rahisi tu. Kenya wanajua kiingereza vizuri, Uganda wanaongea kiingereza vizuri, Rwanda, Burundi, Congo, Mali na nchi zilizotawaliwa na ufaransa wanajua kuongea kifaranza vizuri TU hata wachezaji wao wanajua lugha. Tanzania tumetawaliwa na Uingereza na ujerumani lakini hatujui kiingereza kabisa pamoja kwamba tunasoma kiingereza tokea shule ya msingi hadi chuo kikuu. Walimu na wanafunzi wote hawajui lugha ya kufundishia na kujifunzia. Inategemea nini hapo.Kav
Kavulata tusubiri end game.Waliotuingiza in this mess wanashangilia mafanikio yao,wakati sisi tuonajua what is going on behind the curtain tunalia.The World is very unfair.
Hatuwezi kupiga hatua kwa kuagiza kila kitu.
Kila mkataba lazima uwe na muda wa kwisha na muda wa kufanyiwa marejeo, tunaweza kununua magari Yao kwa dhahabu yetu badala ya dollar. Lengo kuu liwe kupunguza utegemezi wa dollar unaoua uchumi wetu.Mkuu, kwa mfano Toyota Tanzania ina mkataba na serikali kuimport magari ya serikali, makampuni mengine pia yana mikataba kuhakikisha biashara zinafanyika. Unadhani hapo suala unalosema litawezekana kweli?
Wote tunakubaliana kuwa elimu yetu ni mbovu, hata maprofesa wetu pia wamepitia elimu hiyohiyo mbovu. Kuna ubaya gani kumlipa mwanasheria kutoka Urusi, au N Korea au Israel au south Africa kutusaidia kwenye kuingia mikataba na makampuni ambayo sisi hatuna uelewa kwenye maeneo tunayoingia mkataba?TOKA MAKTABA :
MIFANO YA MIKATABA MIBOVU YA MADINI
Mwaka 2017
Mawaziri na maofisa waandamizi walihusika kusaini mikataba mibovu ya madini
Ripoti hiyo iliyosomwa jana na baadaye kukabidhiwa kwa Spika Job Ndugai na baadaye kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, pia imetaka wajumbe wa bodi ya mgodi wa Williamson Diamond Limited (WDL) waliohuhusika katika uingiaji wa mikataba ya uendeshaji mgodi huo wa almasi, wahojiwe na kuchukuliwa hatua stahiki.
Dodoma. Profesa Abdulkadir Mruma, ambaye alitikisa nchi kwa kutaja mawaziri na maofisa waandamizi serikalini waliohusika kusaini mikataba mibovu ya madini, ametajwa katika ripoti ya kamati maalum ya Bunge iliyoundwa kuchunguza biashara ya madini ya almasi .....
Alipoulizwa inakuwaje mtu msomi na aliyepewa dhamana na taifa kulinda rasilimali asaini nyaraka bila ya kuzisoma, alijibu kuwa anawaamini watu walioziandaa
......mmoja mkubwa, akisema thamani yake kwa sasa ni dola 200 milioni za Kimarekani (sawa na zaidi ya Sh400 bilioni za Kitanzania).
Pia alisema katika uchunguzi wao kwa siku mbili walizokaa mgodini hapo wameona makinikia ya almasi tani 1.5 ambayo yanaweza kutoa madini yenye thamani ya Sh2.3 trilioni.
Alisema hiyo inawafanya wahisi gharama za uchimbaji bado zimewekwa katika makinikia hayo kwa kuwa yalichimbwa miaka 50 na marehemu Wiliamson.
Petra inamiliki asilimia 75 wakati Serikali ya Tanzania asilimia 25 na utafiti uliopo hadi sasa unaonyesha kuwa mgodi wa Mwadui unaweza kuzalisha almasi hadi mwaka 2033, ingawa kuna uwezekano wa kuendelea kuzalisha miaka mingi ijayo.
Kwa mujibu wa ripoti ya fedha ya mwaka 2016, Petra ilipata dola 78.9 milioni za Kimarekani. Katika migodi yake yote duniani, Petra ilitoa mrabaha wa jumla ya dola 27 milioni za Kimarekani. Uzalishaji ulipanda kwa asilimia 5 mwaka 2016 hadi kufikia carrat 212.869 kutoka carrat 202, 265.
Mapato pia yaliongezeka kwa asilimia 27 hadi kufikia dola 78.9 milioni za Kimarekani kutoka dola 62.1 milioni Kwa mujibu wa ripoti hiyo, ongezeko hilo lilitokana na kuuzwa kwa almasi aina mbili za kipekee za rangi ya waridi.
Hilo nalo wakalitazame. Kuna kipindi NBC walikuwa wananunua dhahabu, majizi walijaza dhahabu feki tupu.Wasije nunua ile feki tu.
Siyo kweli mkuu. Ni Venezuela walizingua kupeleka dhahabu UK. Nchi nyingi zenye zinahifadhi dhahabu zaoNchi nyingi hata za ulaya wanahifadhi dhahabu US
Tanzania ina wachimbaji wadogo wengi sana. Hata ingeamua kununua kutoka kwa hao bado ingepeta dhahabu ya kutosha. Hao hawahitaji dola. Na pia ingeweza kuongea na makampuni makubwa ya uchimbaji labda kuchukua 10% ya dhahabu wanayozalisha kwa madafu.Wazalendo wa CCM mpya tangu mwaka 2017, wakiongozwa na Mh. Rais, John Pombe Joseph Magufuli na kina Prof. John Aidan Mwaluko Kabudi wamejaribu lakini inaonekana jaribio hilo la kuweka hifadhi ya dhahabu ktk benki kuu ya Tanzania lineshindwa,hata kabla ya kuanza.
Tatizo ni nini nchi kushindwa kununua dhahabu au ni kwa vile dhahabu yote inachimbwa na kumilikiwa na wadau wa maendeleo kutoka nje hivyo mikataba ni migumu kuibadilisha ili dhahabu hiyo inunuliwe na BoT kwa shilingi ya kiTanzania badala ya dolari za marekani maana wawekezaji hao kwa kufuatana na mkataba wa, uwekezaji hawakubali fedha za madafu yaani Shilingi ya kiTanzania ! Na mkataba huo unalindwa,kwa masharti na vigezo vya Tribunal ya Kimataifa iliyo huko France , Netherlands na siyo vyombo kama Mahakama Kuu ya Tanzania pale panapotokea ulalamishi wowote .
Investment: The Role of the World Bank, with. Particular Reference to ICSID and MIGA ....
Mkuu, hizi option zilishapitiwa ila hicho unachosema ni sawa na kujifungia kutokana na resources zetu ila zikiisha huna msaada kwingine na ndio maana Tanzania ina opt kukopa fedha kwa ajili ya miradi na kuinject katika mzunguko wa fedha lengo likiwa kuleta maendeleo kwa haraka.Kila mkataba lazima uwe na muda wa kwisha na muda wa kufanyiwa marejeo, tunaweza kununua magari Yao kwa dhahabu yetu badala ya dollar. Lengo kuu liwe kupunguza utegemezi wa dollar unaoua uchumi wetu.
Kama watawala na wachumi wetu wengekuwa na elimu sahihi ya kutosha wangeshatoa Amri ya kusema, kuanzia mwaka 2025 madaladala yote, na magari madogo yote lazima yafumie gesi badala ya mafuta ya petroleum. Tutakosa Kodi za mafuta lakini tutaokoa manunuzi ya mafuta kwa dollar.
Kaka umeshawahiona wapi nchi Haina samaki wakati imezunguukwa na bahati, maziwa makubwa na mito? Elimu yetu ni ndogo sana kupitiliza, watu hawakopeshekiHakika ni lazima tujitegemee pakubwa kwa kutumia akili ili tuweze kubadilisha jiwe la Mchuchuma n.k kuwa engine ya magari, reli, mitambo ya viwanda vikubwa na vidogo ili hata mazao yote kama nyanya, maembe, viazi, ndizi, mananasi ,nyama za mifugo pia dagaa, samaki n.k zisindikwe badala ya kuoza mashambani na ktk masoko ili bidhaa hizo zijae ktk maduka na supermarket zetu
Kukopa sio kuzuri sana, maana kunatengeneza vicious cycle ya utegemezi kwa mtu huyohuyo anaekudai. Ni kweli resources zinaisha ndio maana lazima Sasa uzitumie katika kuhamia kwenye vyanzo vingine vya mapato kama elimu, huduma, viwanda mama au jeshi kubwa linalotumika kama mercenary kulipwa hela nyingi. Hata Uingereza Kulikuwa na wanyamapori hapo zamani lakini maendeleo yaliwamaliza wanyama wao wote lakini wakahamia kwenye aina nyingine ya maendeleoMkuu, hizi option zilishapitiwa ila hicho unachosema ni sawa na kujifungia kutokana na resources zetu ila zikiisha huna msaada kwingine na ndio maana Tanzania ina opt kukopa fedha kwa ajili ya miradi na kuinject katika mzunguko wa fedha lengo likiwa kuleta maendeleo kwa haraka.
Kaka umeshawahiona wapi nchi Haina samaki wakati imezunguukwa na bahati, maziwa makubwa na mito?
Kaka shida yetu ni kubwa sana kuliko tunavyodhani, akili zetu kubwa hazikimo kweñye watu wanaofanya maamuzi kuhusu taifa. Sehemu za kufanya maamuzi wamejaa watoto wa wapigania Uhuru wetu, watoto wa viongozi wa zamani na wajanja wajanja wanaojua kusifia sana viongozi na jamaa zao. Wale wenye akili kubwa wanaonekana maadui, wametumwa, wasalti, wapinzani, nk.Ndiyo maana elimu na akili kubwa mfano Japan hawana madini lakini akili kubwa wanaunda injini zote za vifaa / vyombo mbalimbali vya kisasa sisi hata mashine ndogo ya kusindika nyanya au mananasi n.k kijijini wasomi wetu na wavumbuzi wetu hawawezi.
Kaka watu huwa hawajui kuwa World Bank, IMF na World Trade Organization ni mali kamili ya Marekani. In fact hata UN inamilikiwa na Marekani. Watu wanaoweka amana (dhahabu) kule marekani ndio wanaoweza kukopeshwa kwa urahisi na IMF na WB maana wana collateral zao kule kuliko wewe ambae huna. Wakiamini kwamba kama hutalipa deni lako au utakuwa mkorofi na adui wa marekani utapoteza mali yako yote.Ni kweli mkuu,ndio maana wakamua.They new aki-back the Dinar with Gold,in principle uchumi utakuwa imara sana,inflation will be history,na realistically the US $ will be threatened na Africa haitaihitaji tena Ulaya au Marekani for loans,so Africa will be trully independent.Oh my my,that was hard to swallow.