Mkuu mbona kila kitu unaweka sijui tutakuelewa
Haya sasa hatujakuelewa amua la kutufunya
Yaan sentensi mbili tu looh sijui kama mmenielewa sijui nini!!
Wewe andika achia server wala huhitaji kujua kuwa umeewleweka au laaah
Sio kweli, nunua basi hata hiyo ya wachimbaji wadogo wazawa. Kutunza dhahabu na fedha zetu kwenye mataifa ya Marekani na Magharibi ni hatari sana kama hatari nyingine maana ukitofautiana nao hata kidogo TU wanakutaifisha.