Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake.
Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya kuwa taifa limekuwa na vijana wengi ambao miaka ijayo watashika nafasi katika taasisi tofauti.
Huu ni wakati Sasa kama taifa kuhakikisha hili kundi linapata elimu kubwa juu ya mambo ya mitandao na faida zake na nini wakifanye ili tuwe na taifa lenye weledi katika kuchochoe maendeleo kiujumla.

Upvote
1