Maswali ni meeengi kama mchanga,et hawakuyajua hayo?Wanatumia gharama kubwa kuendesha vita badala ya kupambana na changamoto za kimazingira........hiyo vita wanayoendesha hapo Ukraine ina manufaa yapi hasa kwa ustawi wa watu, akili nyingi huondoa maarifa..
Waziri awe tayari kuyaainisha makundi 3 ya wazungu wanaokuja wakati huu, yaani atofautishe kati ya:Waziri wa utalii,ndo muda wake wa kujibrand kwa MAMA.
Vita hii ina manufaa kwa marekani na kidoogo Uingereza. Uingereza itanufaika zaidi kwa Ujerumani, Ufaransa na Italy mataifa mihimili ya EU kuanguka kiuchumi, maana baada ya Brexit ya UK mihimili ya Umoja wa Ulaya ni German, France na Italy, zikianguka hizi kiuchumi na EU itaanguka pia. Solz ni kama pandikizi la Marekani na UKWanatumia gharama kubwa kuendesha vita badala ya kupambana na changamoto za kimazingira........hiyo vita wanayoendesha hapo Ukraine ina manufaa yapi hasa kwa ustawi wa watu, akili nyingi huondoa maarifa..
Narudia kali ilosubiria Royal tour ndio iwalazimishe wazungu kuja?Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto tukiwemo Tanzania.
Tusije kuuchanganya ugeni huu na Royal tour movie yetu. Watakuja wengi kwaajili ya kujisalimisha kwa baridi na unafuu wa maisha hapa kwetu.
Serikali, utalii na wajasiliamali tukae mkao wa kula, maana bahati ni pale fursa inapokutana na maandalizi katika sehemu na wakati mmoja. Tujipange.
Usisahau kutuambia mahotel na viwanja watakavyokua wanatembeleaHali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto tukiwemo Tanzania.
Tusije kuuchanganya ugeni huu na Royal tour movie yetu. Watakuja wengi kwaajili ya kujisalimisha kwa baridi na unafuu wa maisha hapa kwetu.
Serikali, utalii na wajasiliamali tukae mkao wa kula, maana bahati ni pale fursa inapokutana na maandalizi katika sehemu na wakati mmoja. Tujipange.
unaifahamu bei ya gallon moja ya mafuta kule Marekani hivi sasa? wazungu kaka wanaishi kwa bajeti zinazofanywa mwanzoni mwa mwaka, kule kwao bei haziyumbi mara kwa mara, sasa hivi wanatumia nje ya bajeti zao.Mtoa mada punguza porojo. North America wana hifadhi ya kutosha ya mafuta na gas kwa sababu ni wazalishaji wa gas asilia na mafuta..
Aaa kaka hawa wanaokimbia baridi wanaojifanya wanakuja kutalii wanakaa nyumba na mtaa wowote, hata kule Tandale, kwamtogole na mnyamani wanakaa tu, hawachagui. Kule Zanzibar wale jamaa wa Ukraine sasa hivi wanaishi hata kule vijijini shambani kabisa.Usisahau kutuambia mahotel na viwanja watakavyokua wanatembelea
Dah! Wacha nijichanganye tu labda ntakutana naoAaa kaka hawa wanaokimbia baridi wanaojifanya wanakuja kutalii wanakaa nyumba na mtaa wowote, hata kule Tandale, kwamtogole na mnyamani wanakaa tu, hawachagui. Kule Zanzibar wale jamaa wa Ukraine sasa hivi wanaishi hata kule vijijini shambani kabisa.