Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

Uhuru lilikuwa swala la muda tu.Tulitakiwa kuonesha kwamba tuko tayari na tunautaka.Akina mwalimu walichungulia fursa wakaitumia.Wanaosema tulipewa wako sahihi na wanaosema tuliudai nao wako sahihi.
 
Basi tujiondoe katika jumuiya zote za kimataifa kama ilivyo Switzerland!
 
Tulijitoa halafu tukarudi kwa aibu. Halafu labda ndilo jambo liliomfungasha virago Mwalimu aondoke Ikulu,mtu aliyekuwa anacheza na bembea na Malkia Scotland anazungumza kuhusu kujitoa Commonwealth.?
Sawa, mkuu ningependa utupe dondoo kidogo kuhusu hilo tukio la kujitoa jumuiya ya madola na urejeo wetu .
 
Nini maana ya jumuiya ya madola.

Mbona Muingereza kajitoa Brexit, sisi tunashindwaje kujitoa jumuiya ya madola?.

Tukiwa na akili za kujitegemea na kufanya kazi kwa bidii hata tukianzisha jumuiya yetu iite vyovyote vile watu watakuja tu.

Tupime toka uhuru tumefaika nini? tumelata hasara gani? na tunafaidika nini? hasa watu wetu.
 
Maswali mazuri sana nyongeza [ 8 na 9 ]
 
Aliyetutoka angejitutumua. Tuliye naye anatokea sehemu wanaoamini kwamba mdhungu na Mwarabu ndo wenye uwezo wa kutumia rasilimali za Mwafrika ila Mwafrika mwenyewe hawezi kujiendeleza kwa kutumia rasilimali zake.
Nenda Zimbabwe ukaishi huko. Maaana yenyewe ilitolewa jumuiya ya m
Nenda hapo Zimbabwe ukapate uzoefu wa kuwa nje ya Jumuiya ya madola halafu uje uulize maswali tena.
 
Nenda Zimbabwe ukaishi huko. Maaana yenyewe ilitolewa jumuiya ya m

Nenda hapo Zimbabwe ukapate uzoefu wa kuwa nje ya Jumuiya ya madola halafu uje uulize maswali tena.
Zimbabwe hakutolewa kwa amani bali aliwekewa vikwazo vya kiuchumi . Rejea swali langu nambari [ 6 ]
 
Hoja yako wewe ni Tanzania kujitoa, lakini hujatwambia faida lukuki tutakazozipata kwa kujitoa na hasara kibao tunayoipata kwa kuwa kwenye Jumuiya ya Madola. Ebu weka hoja yako vizuri tuone tunachangiaje.
 
Mimi nimetoa maswali yenye kuhitaji majawabu na wala sijaweka hoja yoyote hapo.
 
Mimi nimetoa maswali yenye kuhitaji majawabu na wala sijaweka hoja yoyote hapo.
Maswali gani ambayo huwezi kuyajengea hoja? Nikushauri tu, weka positive na negative impacts za kujitoa au kutojitoa tuchangie. Hili la maswali yako ya hovyo hupati kitu na Tanzania itaendelea kuwa mwanachama. Mark my word fella!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…