Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi.

Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.

Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
 
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.

Jeshi litutawale mara ngapi wakati miaka yote limekuwa madarakani nalo likijigeuza au kugeuzwa chawa?
 
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.

Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Jeshi gani? La Nkunda? Mavi tupu
 
Wananchi wanashonwa risasi mbele ya macho yetu na askari waliovalia kiraia, wengine wakienda na defenda zao mpaka majumbani kwa watu kuwauwa vijana mbele ya familia zao na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na mkuu wa majeshi. Eti JESHI LA WANANCHI my foot
 
Jeshi la mwisho la kuogopwa lilikuwa lile la akina Zacharia Hanspope mwaka 1984

Wale waliofanya jaribio la mwisho kutaka kumpindua Mwl Nyerere

Baada ya pale, limekuja jeshi oga, wanaona raia wanafanyiwa ukatili wa kupigwa risasi mbele yao na hawafanyi kitu

Jeshi lililoacha majukumu yake ya msingi na kugeuka machawa kwa watawala wezi, walionenepeana kwa wizi wa mali za Umma huku wakijenga majumba ya kifahari Dubai na Uingereza 🙌
 
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.

Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Jishi lipi??🤔🤔
 
Acha ndoto za mchana utakunya bure kitandani. Tafuta shughuli ya kufanya, Samia yupo hadi 2030
 
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.

Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Hatuna jeshi! Jeshi gani lililoruhusu wananchi kuuliwa hovyo oct29. Na inasemekana Kuna jeshi nje ya Tanganyika liliingia na kushiriki mauaji hayo. Hiyo mipaka wanayosema wanalinda ni ipi?
 
hilo haliwezekani, rejea 29 oct.
 
Hatuna jeshi! Jeshi gani lililoruhusu wananchi kuuliwa hovyo oct29. Na inasemekana Kuna jeshi nje ya Tanganyika liliingia na kushiriki mauaji hayo. Hiyo mipaka wanayosema wanalinda ni ipi?
mkuu ngoja kwanza tusubiri taarifa ya tume --- haiwezi ikadanganya vyote.
lazima tujue kwa kiasi nini kilitokea

ila ukitaka kusema hatuna jeshi, usiishie hapo hatuna kila kitu hii nchi. --- hata sisi wananchi wengi fikra ni ndogo na hatufahamu kitu fulani tukalalamike wapi na muda gani
 
Hakuna jeshi la kuchukua nchi, wamepigwa na Mafwele raia tukishuhudia na hakuna walichofanya…!! Wasubiri kuvunja matofali 9 dec
Mafwele aliwapiga hadi wajeda kumbe? Ila jeshi la police Lina nguvu kuliko majeshi yote kibongo bongo
 
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.

Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Jeshi gani unalozungumzia? Hilihili la kichoko JWTZ? Labda lije jeshi la Rwanda.
Hawa wajeda wa Bongo walishatekwa na Mafwele na hatujui kama aliwafanya ule mchezo wake, akatamba waziwazi kwamba kuwateka na jeshi likaufyata mkia bila ya kufanya lolote wakati kisheria polisi hana mamlaka hayo bali MP(Military Police) ndiyo wana majukumu ya ku-deal na wajeda waliovunja sheria. Kwanza mjeda anatekwa vipi kihuni? Pili inakuwaje jeshi linakaa kimya wakati askari wao wanapotekwa kihuni?
Hawa wajeda wa Bongo ni machoko midebwedo sana hakuna wanaloweza, ndiyo maana hata huko Eastern DRC walitutia aibu kwa kutekwa na kusachiwa kama vibaka na wapiganaji wa M23.
Mgambo was city au walinzi wa G4 unit wanaweza kututoa kimasomaso kuliko hao wavaa nguo za mabakamabaka.
It's about time JWTZ waanze kuwa wanavaa vijora badala ya combats.
 
Back
Top Bottom