Kwani jeshi lenyewe linasemaje?Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi.
Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Kama alivyosema Polepole ni kweli basi hatuna nchi,, tumekwisha.Hakuna jeshi pale wale ni mgambo wa kuilinda CCM.
Watatokea wazalendo wachache kwa mtindo mwingine ndio watairejesha nchi kwenye mstari
Polepole alisema wahuni walifanya calculation za mbali kuwa ili mbeleni wafanye deals zao bila kubugudhiwa ni kuweka mapandikizi yao katika vyombo vyote vya dola na walifanya kwa miaka takriban 20 hivyo hakuna kitu watu watafanya kutaka kuwapindua wasijue.Kama alivyosema Polepole ni kweli basi hatuna nchi,, tumekwisha.
Kwamba kila taasisi kuanzia vyombo vya dola, mahakama, Bungeni mpaka Ikulu wametawaliwa na wamenunuliwa na wana mtandao,
Labda utokee muujiza nchi hii kupona.
nonsenseUkiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi.
Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Jeshi lipi? Ili la akina mkunda? UnachekeshaUkiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi.