Jeshi litutawale mara ngapi wakati miaka yote limekuwa madarakani nalo likijigeuza au kugeuzwa chawa?Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Jeshi gani? La Nkunda? Mavi tupuUkiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Jishi lipi??🤔🤔Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Mashoga tu wale. TZ kila sehemu watendaji wake ni incompetent sijui kwa niniWateezee wametamani hilo litokee tangu mo29 lkn kwa kuwa jeshi ni mdebwedo wanebakinkuugulia mioyoni. Hukutaani jeshi lomedharauliwa sana kiujumla wake.
Samaki huoza kuanzia ......Mashoga tu wale. TZ kila sehemu watendaji wake ni incompetent sijui kwa nini
Acha ndoto za mchana utakunya bure kitandani. Tafuta shughuli ya kufanya, Samia yupo hadi 2030Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
Hatuna jeshi! Jeshi gani lililoruhusu wananchi kuuliwa hovyo oct29. Na inasemekana Kuna jeshi nje ya Tanganyika liliingia na kushiriki mauaji hayo. Hiyo mipaka wanayosema wanalinda ni ipi?Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
hilo haliwezekani, rejea 29 oct.Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi
mkuu ngoja kwanza tusubiri taarifa ya tume --- haiwezi ikadanganya vyote.Hatuna jeshi! Jeshi gani lililoruhusu wananchi kuuliwa hovyo oct29. Na inasemekana Kuna jeshi nje ya Tanganyika liliingia na kushiriki mauaji hayo. Hiyo mipaka wanayosema wanalinda ni ipi?
Mafwele aliwapiga hadi wajeda kumbe? Ila jeshi la police Lina nguvu kuliko majeshi yote kibongo bongoHakuna jeshi la kuchukua nchi, wamepigwa na Mafwele raia tukishuhudia na hakuna walichofanya…!! Wasubiri kuvunja matofali 9 dec
Jeshi gani unalozungumzia? Hilihili la kichoko JWTZ? Labda lije jeshi la Rwanda.Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama wa taifa kesho kutwa mnaweza kuona mengine kabisa. Tungekuwa na mkuu wa jeshi mzalendo tarehe 29 Oct jeshi lingechukuwa nchi.
Njia pekee bora ya kuzuia hili ni katiba mpya na demokrasia bila hivyo tunawatengenezea jeshi mazingira ya kuchukuwa nchi