Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

Kwa jeshi lipi !? Hili hili la kikundi Cha wahuni ??
 
Kwani jeshi lenyewe linasemaje?
 
Hakuna jeshi pale wale ni mgambo wa kuilinda CCM.

Watatokea wazalendo wachache kwa mtindo mwingine ndio watairejesha nchi kwenye mstari
 
Hakuna jeshi pale wale ni mgambo wa kuilinda CCM.

Watatokea wazalendo wachache kwa mtindo mwingine ndio watairejesha nchi kwenye mstari
Kama alivyosema Polepole ni kweli basi hatuna nchi,, tumekwisha.

Kwamba kila taasisi kuanzia vyombo vya dola, mahakama, Bungeni mpaka Ikulu wametawaliwa na wamenunuliwa na wana mtandao,

Labda utokee muujiza nchi hii kupona.
 
Polepole alisema wahuni walifanya calculation za mbali kuwa ili mbeleni wafanye deals zao bila kubugudhiwa ni kuweka mapandikizi yao katika vyombo vyote vya dola na walifanya kwa miaka takriban 20 hivyo hakuna kitu watu watafanya kutaka kuwapindua wasijue.

Hivyo mimi naamini ukombozi utatokea nje ya mifumo iliyokuwa compromised kwa sababu ya uhuni huo.
 
nonsense
 
Jeshi lipi? Ili la akina mkunda? Unachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…