Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwani ujamaa unazuia umiliki binafsi wa mali ?Japan ni wajamaa?
Kina Toshiba na Toyota ni wajamaa? Kina Rakuten?
Ujerumani ipi ya wajamaa? Hii hii ya kina Volkswagen? Sweden ya kina Volvo ndo unasema wajamaa?! Acha uongo wewe
Duniani hapa twende na mixed economy, serikali ibaki kutoa basic huduma kama umeme, elimu, Afya na maji,Mkuu 'Proved', wewe mwenyewe bila shaka umegundua mleta mada kaweka mada ya kichokonozi kuamsha hisia za watu tu kwa jinsi alivyo iwasilisha.
Tuondoke huko kwenye 'dogma' za kizamani enzi za "Vita Baridi". Hizi ni enzi tofauti kabisa nasi tunatakiwa kuangalia maslahi ya nchi yetu katika mazingira haya ya leo, siyo yale ya juzi.
Mleta mada analaumu akina Mwinyi na wengineo; lakini anasahau kwamba tayari tulikuwa kwenye matatizo makubwa kama nchi siyo kwa sababu ya Ujamaa, bali haliya uchumi wa duniaani kote ilikuwa na mtikisiko; na kwa bahati mbaya sana kwetu tukawa na majanga mfululizo wakati huo huo. Vita Kagera, ukame uliosababisha ukosefu wa chakula, n.k.
Ni wapi katika ukanda huu ambapo hapakutokea mtikisiko wakati huo, iwe wana siasa za kibepari au za kijamaa Hapo jirani enzi za Moi huwezi kusema uchumi wao ulikuwa mzuri, ukiacha tu hizi propaganda zisizokuwa na miguu.
Kuna mambo ninayokubaliana na mkuu 'Burkinabe' katika mada yake, ikiwa ni pamoja na upotofu wa msimamo wa serikali zetu tukea enzi za Ruksa, Mkapa na Kikwete.
Matatizo yetu sasa yatakayotuchelewesha kusonga mbele kimaendeleo sasa hivi, siyo sababu ya siasa za kijamaa au kibepari. Tumekwishaona kwamba, hata katika ujamaa maendeleo yanawezekana, kama ilivyo katika ubepari. China katufundisha kuwa 'Socialist Economy" inao uwezo wa kuliondoa taifa katika rindi la umaskini.
Na tunajua pia, kwamba hata katika ubepari, nchi inaweza kabisa isifanikiwe bila ya kuweka mkazo katika baadhi ya mambo muhimu, kama kubana ufisadi na kuweka mfumo mzuri wa kiutawala ili shughuli za wananchi ziende vizuri.
Hatuwezi kufanikiwa kwa kutegemea wawekezaji toka nje na huku sisi wenyewe tukipanga kupeleka manamba nchi za nje.
Hali kadhalika, hatuwezi kuendelea kama serikali haiweki mipango madhubuti kujenga uwezo wetu wenyewe kujenga taifa letu
Kamwe hatuwezi kuendelea kama tunayo serikali isiyokuwa na uwezo wa kuwabana mabepari na mijizi ili raslimali zetu zisaidie ujenzi wa taifa letu.
Ukitaka kufungua nchi, hakikisha umejijengea uwezo wa kuhakikisha kuwa hukujisahau na kuruhusu kuliwa hata usikotaka uliwe.
Socialist economy
Una niuliza kwa nini nafocus kwenye unanafuu kwani msingi mkuu wa utoaji wa huduma za kijamii ni nini kama sio ubora na unafuu ?Why una focus kwenye unafuu? Sisi tunaongelea UFANISI. Cheap is not always efficient or effective. Having said that, nakupa mfano TRA inapaswa ku audit MNCs zaidi ya 300 kwenye eneo la transfer pricing CAG anasema ni 10% ya MNCs hukaguliwa. Cha ajabu private sector kampuni kama KPMG au Deloitte n.k zinaweza audit hizo kampuni zote!! Ndio unajiuliza why waweze ila TRA ishindwe? Kwanini? Sababu serikali hawana profit incentive wala shareholders wa kuwashika koo!!
Kuhusu Nishati bado haijawahi kuwa supplied na kampuni binafsi otherwise mgao ungebaki historia maana competition ingekua kubwa so kampuni A ikifeli kwenye distribution watu wanahamia kampuni B.
Yeah zipo kampuni mbovu hata sekta binafsi ila sio nyingi as compared to sekta ya umma zilizo mbovu. Katika kampuni zaidi ya 100 za serikali zinazo underperform ni zaidi ya 80!! Na hili hata JPM alisema hazikuwahi toa gawio tokea zianzishwe.
Kiujumla ninakubaliana na wewe. Na kwa kweli sijui serikali inayouza sukari leo hii moja kwa moja; lakini kama unavyojua, hiyo ni bidhaa muhimu. Pamoja na kwamba watu binafsi wataendesha biashara hiyo; serikali haitaweza kujitoa na kuacha biashara iendeshwe kiholela.Duniani hapa twende na mixed economy, serikali ibaki kutoa basic huduma kama umeme, elimu, Afya na maji,
Masuala ya serikali kuuza sukari ni upuuzi mtupu duniani siku hizi
Hujaelewa, ikibaki regulator means inaondoa kampuni zake kwenye ushindani mfano TTCL, NBC, NMB, ambazo in one way or the other zaweza haribu ushindani. Mfano TTCL ndio inaongoza mkonga wa taifa ila bado imefeli kusambaza hata internet tu majumbani. Imagine mkonga wa taifa ungekua chini ya vodacom?. Haya TPDC wana upstream company inayopewa tender huko kwenye kuchimba gesi ila wamefeli hata kuuza gesi ya magari imagine hiyo tender ingekua ya Lake Gas??tu serikali katika eneo lolote, hata huko ku 'regulate' unakokusema wewe, tayari dhana nzima ya 'pure' imekwisha katika
Hukubaliani na uhalisia? Hivi TRA isipo deliver kuna repercussions gani? Ila kampuni binafsi kama Ernst and Young ingepewa kazi ya kukusanya kodi ungeshangaa inafika ufanisi wa 90%. Sababu huko serikalini hakuna KPIs, mikataba ni ya kudumu, wanaajiri bila kuangalia competence ni interview tu ya mtihani, haya uwajibishaji ni zero maana sijawahi sikia mtu kafukuzwa kwa kushindwa kudeliver zaidi ni utovu wa nidhamu ndio pekee inaweza kukufukuzisha ila private sector mfano NIDA wangeambiwa ID 10,000 kwa siku ukishindwa unatimuliwa!!!Hilo swala la serikali kujiondoa katika kila kitu, kwa kusema tu haiwezi kufanya chochote kwa ufanisi ni dhana nisiyokubaliana nayo kabisa
Wewe umesema tusikariri alafu hapa unasema "haliwezekani popote ". Why unajicontradict mwenyewe?. Na hapa ndio maana kuna ugatuzi kwamba kila eneo lijiendeshe lenyewe kulingana na context yake so kuna miji katika nchi moja ila ina mitazamo ya kiuchumi tofauti kabisa. So usikariri kwamba lazima centralization iwepo ndio nchi isonge, that's not the case.Kama maana ya serikali ni hiyo, basi ijiondoe kabisa hata katika maisha ya watu kabisa; jambo ambalo haliwezekani popote.
Hakuna mkutano wa chadema hatujasema hizi sera za majimbo, private sector n.k hata kampeni za 2020 Lissu alikua akitetea private sector na kupinga serikali kufanya biashara n.k na bado alikua ana pull crowds kubwa. Na ndio maana wapiga kura wengi wa chadema ni middle class na higher ups sababu wako more secured na sera zao kuliko under CCM ambayo ina protectionism kubwa. Kuhusu wananchi maskini hawa hupiga kura tu based on hype na hisia ila informed voters ambao pengine ni 30% pekee hii nchi basi be assured wanaipigia chadema kwa sababu ya sera za mrengo wa kati kulia.Hizo unazo sema ni sera za CHADEMA; hujui kuwa hilo ni moja ya mambo yanayowafanya CHADEMA wasikubaliwe sana sehemu mbalimbali nchini? Sera hizo mara nyingi zimekuwa kama ni siri kubwa, hazielezwi kinagaubaga, matokeo yake yanakuwa kama ni hila za chama kuingiza maswala wasiyo yaelewa wananchi.
Hapana unafuu pekee sio ufanisi na ndio hapa tunafeli, NIDA ni bure ila mpaka leo sina ID ila kingeuzwa na private sector kwa elfu 5 ningeshapata na hao wengine serikali ingewalipia kuliko kusema bure alafu hakuna ID na serikali inalipa mishahara na expenses zingine zaidi ya 20B huko NIDA per year.Una niuliza kwa nini nafocus kwenye unanafuu kwani msingi mkuu wa utoaji wa huduma za kijamii ni nini kama sio ubora na unafuu
Serikali igharamie tu kama sasa ila kupitia private sector. Yaani mfano badala ya kutoa billion 10 kuendesha TRA inaweza tumia pesa hiyo hiyo kulipa kampuni binafsi kama Deloitte kukusanya mapato na kuhakikisha zinapitia hazina na kwamba ikishindwa deliver tender inahamia kwingine, imagine that efficency. Same to hospitali za serikali ziendeshwe kwa PPP utaona mabadiliko makubwa. Hii dhana ya kuamini ikiwa chini ya serikali ndio cheaper ilihali inaweza kuwa cheaper kwa PPP kupitia ruzuku itakua better.Kwamba unataka huduma za kijamii ziwe katika hali ya gharama kubwa ? Una hakika makundi mangapi yatapokea huduma hizo na makundi mangapi yatakosa huduma
Ona sasa mifano unayotumia hapa kuhalalisha nadharia unayoing'ang'ania kama msahafu.Hujaelewa, ikibaki regulator means inaondoa kampuni zake kwenye ushindani mfano TTCL, NBC, NMB, ambazo in one way or the other zaweza haribu ushindani. Mfano TTCL ndio inaongoza mkonga wa taifa ila bado imefeli kusambaza hata internet tu majumbani. Imagine mkonga wa taifa ungekua chini ya vodacom?. Haya THivi kweli mistari uliyoninukuu hapo juu nimeeleza chochote kuhusu "lazima ya ku-centralize" au unataka kunilazimisha nikubali unayotaka wewe niyakubali?zi kwamba kila eneo lijiendeshe lenyewe kulingana na context yake so kuna miji katika nchi moja ila ina mitazamo ya kiuchumi tofauti kabisa. So usikariri kwamba lazima centralization iwepo ndio nchi isonge, that's not the
PDC wana upstream company inayopewa tender huko kwenye kuchimba gesi ila wamefeli hata kuuza gesi ya magari imagine hiyo tender ingekua ya Lake Gas??
Mifano yote unayotoa hapa ni mifano mibovu, kwa sababu imekuwa ni jadi hapa kwa mashirika ya umakutofanya vizuri kwa sababu mbalimbali, nyingi zikiwa ni hujuma toka kwa watendaji huko huko serikalini wakishirikiana na hizo kampuni binafsi.Hapana unafuu pekee sio ufanisi na ndio hapa tunafeli, NIDA ni bure ila mpaka leo sina ID ila kingeuzwa na private sector kwa elfu 5 ningeshapata na hao wengine serikali ingewalipia kuliko kusema bure alafu hakuna ID na serikali inalipa mishahara na expenses zingine zaidi ya 20B huko NIDA per year.
Huduma za kijamii hospital zenye PPP huwa ni both affordable and EFFICIENT sababu serikali inatoa pesa ila management ni ya mtu binafsi. So hili ni funzo mfano Mkonga wa taifa serikali ingeuweka chini ya PPP na vodacom pengine kila nyumba ingekua na full broadband kwa bei nafuu kelele za MB zingeisha. Lakini mkonga wa taifa upo chini ya TTCL see how its a failure!! Its cheaper but hakuna huduma inatufikia sio network, line, speed, wala huduma nzuri. So tuache kufocus kwenye affordability ila Efficency. Otherwise regulators wapo wafanye price ceiling tu kama wanachofanya TMDA, TIRA, TCRA, PURA n.k bei haitopanda hata TANESCO ikiwa distribution ya umeme kupitia sekta binafsi
Serikali igharamie tu kama sasa ila kupitia private sector. Yaani mfano badala ya kutoa billion 10 kuendesha TRA inaweza tumia pesa hiyo hiyo kulipa kampuni binafsi kama Deloitte kukusanya mapato na kuhakikisha zinapitia hazina na kwamba ikishindwa deliver tender inahamia kwingine, imagine that efficency. Same to hospitali za serikali ziendeshwe kwa PPP utaona mabadiliko makubwa. Hii dhana ya kuamini ikiwa chini ya serikali ndio cheaper ilihali inaweza kuwa cheaper kwa PPP kupitia ruzuku itakua better.
Mfano wa mwisho pesa za halmashauri mbona hazirudishwi? Ila CRDB ukikopa usirudishe mali zote zinataifishwa. Ndio sasa tunasema ufanisi ni mkubwa kupitia private sector, je serikali ikitoa hiyo mikopo kupitia CRDB unadhani kuna mtu atashindwa rejesha?
haya, unanipa mfano kama huu, sijui unataka niseme nini; nikubali kwamba serikali haiwezi kufanya vizuri?Mfano wa mwisho pesa za halmashauri mbona hazirudishwi? Ila CRDB ukikopa usirudishe mali zote zinataifishwa. Ndio sasa tunasema ufanisi ni mkubwa kupitia private sector, je serikali ikitoa hiyo mikopo kupitia CRDB unadhani kuna mtu atashindwa rejesha?
Democratic Socialist Countries 2023Japan ni wajamaa?
Kina Toshiba na Toyota ni wajamaa? Kina Rakuten?
Ujerumani ipi ya wajamaa? Hii hii ya kina Volkswagen? Sweden ya kina Volvo ndo unasema wajamaa?! Acha uongo wewe
Democratic Socialist Countries 2023Umeshindwa kuelezea
Umesoma hio link ?Democratic Socialist Countries 2023
Nimejua nikiandika usoshalist na sio communism.
Ukiweza kusoma hapo juu labda utaelewa dhana na jnsjcaturs za usoshalist.
Kuna tofauti Kati ya socialism na communism. Nyerere alitumia jina “ujamaa” akadai kuwa halina tafsiri.Japan ni wajamaa?
Kina Toshiba na Toyota ni wajamaa? Kina Rakuten?
Ujerumani ipi ya wajamaa? Hii hii ya kina Volkswagen? Sweden ya kina Volvo ndo unasema wajamaa?! Acha uongo wewe
Tatizo hujafika na kuishi kwenye usoshalisti kujua na ku-experience falsafa na maisha ya jamii ya kisoshalisti ikoje.Umesoma hio link ?
Isome uielewe, mifano ya hizo nch ndio kinachofanyika saiz Tz,
Basic huduma zinatolewa na serikali wakati bizness ni free market, kila mbuzi ale kwa kamba,
In short ili jamii iendelee kiuchumi ubepari is the way
Kwani ujamaa ulifutwa lini Tanzania?Amani iwe nanyi nyote.
Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo sasa.
Uchumi wetu ulianza kuyumba mara tu awamu ya pili chini ya Mzee Ruksa, Alhaji Ali Hassani Mwinyi ilipoingia madarakani na kuusaliti Ujamaa wa Hayati Mwl. JKN.
Hadi kufikia mwaka 1987, uchumi wa Tanzania ulikuwa unaongoza kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati. Hii ina maana uchumi wetu ulikuwa mkubwa kuliko hata wa Kenya ambayo ndiyo kinara kwa kuwa na uchumi mkubwa katika ukanda huu kwa sasa!
Miaka ya 1990 tulipokubaliana na mambo ya kipuuzi kama nchi, tukapoteana kabisa na hali yetu haijatengamaa mpaka kesho. Fedha yetu inazidi kuporomoka mwaka hadi mwaka huku kukiwa na pengo kubwa sana kati ya wenye nacho na wasionacho.
Hivyo ushauri wangu ni serikali kufanya kila linalowezekana kuturudisha katika mfumo wetu wa Ujamaa; Sera inayotutofautisha sisi na majirani zetu. Hii itasaidia kuleta ustawi kwa wote na kutuondolea kero ya kuwa na viongozi wezi na vibaka waliojificha kwa mavazi ya uongozi.
Asalaam Aleykum.
Asaivi tuko wapii? Labda km unaishii DSmHuna akili!
Nadhani hata kuzaliwa utakuwa umezaliwa mwaka 1995.
Kama ulikuwa na akili miaka ya 1982- 1985 na ulishuhudia namna watu kwalivyokuwa wanavaa viraka na kuogea majani ya mipapai kama sabuni sidhani kama unaweza kuja kuandika huu upuuzi wako hapa.
Ujamaa ni laana.
Ndio haiwezi maana serikali inaangalia zaidi social benefits kuliko economic benefits. So hakuna incentive ya kufanya kazi. Hapa naongelea context ya Tanzania sio China maana wao wana mfumo tofauti kidogo.Ona sasa mifano unayotumia hapa kuhalalisha nadharia unayoing'ang'ania kama msahafu.
Kwa nini hao watu wa serikali uwategemee kwa kufeli tu na siyo kufanikiwa? Why? Kwa sababu ni kasumba iliyojengeka kuwa serikali haiwezi kufanikisha jambo lolote; lakini tunaiona mifano sasa, mashirika ya kichina yakiwa yameenea kila sehemu duniani yakifanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Sina tatizo na huku; ingawa najua hata wewe unafahamu kwamba ni uongo kudhani kuwa serikali haiwezi kusimamia na kuendesha huduma za mashirika kama hayo. China wametuonyesha mifano wazi kabisa.
Ninalokataa ni hili la kasumba ya kusema serikali haiwezi kufanya jambo, kama kusimamia uendeshaji wa shirika. Hii ni fallacy
Hii ni moja ya excuses mbovu sana eti kuhujumiwa are you serious?. Incompetence na kuhujumiwa wapi na wapi? Mfano baraza la uwezeshaji kiuchumi linahujumiwa na nani? baraza la maendeleo, sijui NIDA inahujumiwa na nani? Maana hizo ni monopoly sasa zikihujumiwa huyo anayehujumu wa kutoka private sector anapata faida gani?nyingi zikiwa ni hujuma toka kwa watendaji huko huko serikalini wakishirikiana na hizo kampuni binafsi.
Ethiopian Airlines unadhani inaendeshwa kwa model yetu huku? Wao wanatoa tender hadi kwa makampuni ya foreign kufanya shughuli kama handling, management, marketing, flight operations etc sio kwamba ni serikali purely inasimamia kila kitu!! Watu wameshahama huko wanarely kwenye private sector yaani sio kila kazi ifanywe na ofisi kuu. Mfano marketing unaipa kampuni A, cargo handling kampuni B, Recruitment kampuni C, Flight operations kampuni D, sijui sales and marketing kampuni E.Tunaona Ethiopian Airlines iking'ara kabisa na kuingiza faida, lakini mifano kama hiyo hutaki kuitazama.