Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
We jamaa una gubu! Utazani mwanamke mwenye mimba changa bana!Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
utopolo mtupuTanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Mwaga shule Baba kuhusu hilo vaziJambo ambalo hulijui ni kwamba linapokuja suala la usalama hasa nchini Kenya kwenye ugaidi. Jua kwamba unapopokelewa na Rais mwenzio unakuwa salama zaidi kiulinzi. Sisi hatukupokelewa na PSU ya Kenya. Tulijitegemea. Vipi lingetokea la kutokea si tiyari CDF Mabeyo angeshafunga mipaka? Naongea kama mtu wa diplomasia. Ulijua kwa nini mama alivaa rangi maruni? Au unadhani ni urembo kwake? Unataka shule?!
Leta shule mkuu...kwann alivaa maruni. Kuna vitu tunaviona tuu kumbe vina maana.Jambo ambalo hulijui ni kwamba linapokuja suala la usalama hasa nchini Kenya kwenye ugaidi. Jua kwamba unapopokelewa na Rais mwenzio unakuwa salama zaidi kiulinzi. Sisi hatukupokelewa na PSU ya Kenya. Tulijitegemea. Vipi lingetokea la kutokea si tiyari CDF Mabeyo angeshafunga mipaka? Naongea kama mtu wa diplomasia. Ulijua kwa nini mama alivaa rangi maruni? Au unadhani ni urembo kwake? Unataka shule?!
ππππ Ile nchinya kenya ipo sikubitakuwa mikononi wa utawala wa vizazi vya kisomali na ndipo siku iyo watapiga ukunga ... Viongozi wengi wenye asili ya somali sasa wameshika hatamu pale, mfano huyo Amina,Hilo la Amina na Suluhu nakupa mji.
Bila shaka Amina atavuna sana enzi hii ya Samia.
Waziri Bashungwa atampokea pale AirportTanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.