Tanzania tumedhalilishwa sana nchini Kenya. Isijirudie la sivyo tutalipiza kwa Uhuru Kenyatta desemba 9/2021

Kwahiyo hizo kelele za malalamiko ulizipiga wapi mpaka Kenyata akazisikie ?
Unajua Kenyata alikuwa wapi wakati Samia Suluhu anaingia Kenya?.
Jiwe aliyekuwa akilindwa na Waburundi, Wanyarwanda na Wasouth leo yuko wapi?
 
Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.

Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.

Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.

Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.

Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
We jamaa una gubu! Utazani mwanamke mwenye mimba changa bana!
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Mambo ya bifu na ligi ni ya mwendazake tulishatoka huko.Hata kama alipokolewa na mtendaji wa kijiji.
 
Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.

Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.

Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.

Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.

Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
utopolo mtupu
 
Jambo ambalo hulijui ni kwamba linapokuja suala la usalama hasa nchini Kenya kwenye ugaidi. Jua kwamba unapopokelewa na Rais mwenzio unakuwa salama zaidi kiulinzi. Sisi hatukupokelewa na PSU ya Kenya. Tulijitegemea. Vipi lingetokea la kutokea si tiyari CDF Mabeyo angeshafunga mipaka? Naongea kama mtu wa diplomasia. Ulijua kwa nini mama alivaa rangi maruni? Au unadhani ni urembo kwake? Unataka shule?!
Mwaga shule Baba kuhusu hilo vazi
 
Leta shule mkuu...kwann alivaa maruni. Kuna vitu tunaviona tuu kumbe vina maana.
 
Hilo la Amina na Suluhu nakupa mji.

Bila shaka Amina atavuna sana enzi hii ya Samia.
😂😂😂😂 Ile nchinya kenya ipo sikubitakuwa mikononi wa utawala wa vizazi vya kisomali na ndipo siku iyo watapiga ukunga ... Viongozi wengi wenye asili ya somali sasa wameshika hatamu pale, mfano huyo Amina,
 
Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.

Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.

Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.

Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.

Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Waziri Bashungwa atampokea pale Airport
 
Kalamu1 kumbe huyu mama Amina ndio bingwa wa kuwapokea ma raisi wa kike pale wanapo zuru ile nchi ya Kenya tazama hii video hapao rais wa S.Korea Madam Park alitembelea kenya na huyo mama Amina ndio alimpokea pia ila by then alikuwa ni waziri wa mambo ya nje

kwa hiyo sio kutuzarau ila inaonekana ni utamaduni wa bwana Uhuru kuwatumia viongozi wa mama kuwapokea ma rais wa mama
 
Hii mitandao imetufanya tumezidi kua wajinga badala ya kuelimika.Kila mtu akishakula mashudu yake uko anawashwa kuja kuanzisha mada uku mtandaoni.Bure kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom