figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege.
Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni?
Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha.
Mbona pale Buguruni reli inapita juu? Sehemu mnajua ni bondeni maji yanajaa halafu nyaya za umeme na mifumo ya umeme mnailaza chini. Kama si hujuma ni nini?
TRC Matako yenu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini.
Akizungumza Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio kuhakikisha wanarejesha miundombinu ili huduma za usafiri zirejee kama kawaida.