Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
UnafikiNa mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
UnafikiNa mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
Kwa nini kilienda kujengwa Mbezi?Kwani lazima wote tushuke mbezi
Ni ukurupukaji tu mfano mtu ukitoka tanga kupitia bagamoyo ni lazima?uende mbezi na vipi nikitoka mtwara nashuka temeke lazima niende nikashuke mbezi?Kwa nini kilienda kujengwa Mbezi?
Tatizo ni wachumi vilaza wa tamisemi ambao wanafanya vituo vya mabasi kuwa ni vyanzo vya mapato badala ya kuwa vituo vya huduma kwa wasafiri. Kipa umbele ipo kwenye mapato na sio huduma. Mapato yenyewe yanapigiwa hesabu ya kupigwa.Ni ukurupukaji tu mfano mtu ukitoka tanga kupitia bagamoyo ni lazima?uende mbezi na vipi nikitoka mtwara nashuka temeke lazima niende nikashuke mbezi?
Sasa kama tulikubaliana na huo ukurupukaji wa ujenzi, leo inakuwaje tunabadilika tena?Ni ukurupukaji tu mfano mtu ukitoka tanga kupitia bagamoyo ni lazima?uende mbezi na vipi nikitoka mtwara nashuka temeke lazima niende nikashuke mbezi?
kwani kubadirika ni kosa?Sasa kama tulikubaliana na huo ukurupukaji wa ujenzi, leo inakuwaje tunabadilika tena?
Anayebadilisha ni nani?kwani kubadirika ni kosa?
Ni anayebadilishaAnayebadilisha ni nani?
Ni anayebadishaAnayebadilisha ni nani?
Hahahaha😂Wanajua kuiba kura tu
Nchi za wenzetu ukihujumu ni kifo moya kwa moya ndo maana miradi inapiga kazi hadi kwenye msimu wa barafu/baridi kali