figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tunatamani tujenge SGR kutoka Jambiani kwenda Kizimkazi. Hatuna jinsi tu.. So bora tukose woteMiradi yote ya Magufuli itahujumiwa kama si kufa kabisa basi itakuwa na huduma mbovu sana. Nimesikia stendi ya Mbezi mabasi hayapaki tena pale, zimeibuka stand mji mzima. SGR inafuata.
Ingekuwa TRC hapo tungeambiwa barafu zitaingia kwenye injini
Kwani lazima wote tushuke mbeziMiradi yote ya Magufuli itahujumiwa kama si kufa kabisa basi itakuwa na huduma mbovu sana. Nimesikia stendi ya Mbezi mabasi hayapaki tena pale, zimeibuka stand mji mzima. SGR inafuata.
Mna maksudi