Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23.
Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa kishujaa na tutapigana kishujaa kulinda Amani ya Ukanda huu. JWTZ halijawa kurudi nyuma katika mapambano ya aina yoyote ile. Sisi ni washindi na tutashinda.