Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Duh! Hizi habari umezipata wapi mkuu?
 
Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Hatuna uwezo wa kuweka paringi ba Kagame hata siku moja. Uwezo huo haupo. Atatumaliza asubuhi kabla ya misa ya misa ya kwanza.
 
Uimara wa Jeshi unategemea mambo mengi, endeleeni kuchagua viongozi wa hovyo, mkitarajia historia itwabeba.
Mbona malalamiko ni mengi?.

Hutaki Kivu ipate serikali mpya, itakayowajali raia na kuwathamini,sambamba na kukuza uchumi pamoja na kuboresha miundombinu ya Kivu eneo lenye rasilimali nyingi?
 
Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
jamaa anatumika na ufaransa kuiba madini tangu miaka mingi sana,,,,unaambiwa kwa sasa ufaransa amekuwa jambazi sugu baada ya kufukuzwa kwenye nchi za afrika mangaribi ka bukina faso,mali na nchi nyingine nimeisahau,,,,so ufaransa umeme wake anatumia nyuklia na mdini yake alikuwa anapata huko,,,so ufaransa kapaniki,,,,,so kagame amepewa mpaka mifumo ya ulinzi wa anga ka israil,kapewa drone za kutosha,,,,,makomando wake wanapewa mafunzo ufaransa,,,makapuni ya kutengeneza simu yanategemea madini hayo kutoka congo[yanapatikaka congo kwa asilimia 80]....ujue ndo manake magufuli alikuwa anasema sisi ni matajiri,kiuhalisia,wazungu wanajivunia miundo mbinu tu,lakiniteknolojia yao bila afrika hamna ki2,,,umeona trump ameanza kuizingua south?????''''''{wanatfuta sababu walizoea kuinyonya wakati wa makaburu].....bro!!! wazungu hamna ki2 ni masikini kuliko wewe,,,walimuua gadafi,sada,sababu ya mafuta tu!! KAGAME yupo kwenye payroll ya CIA,,,,,,,,,,,,,,,WEZI TU!!
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Kagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
Kojoa jamba kalale we form four C
 
Kagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
Weeee bwana weeee!!!! Mtutsi siyo bure
 
kwa kuongezea tu!!!,,,,umeona baada ya rais wa afrika kusini kumpka mkwala kagame,si umeona trump amtishia kuiwekea vikwazo south afrika kwa sababu eti kuna tabaka la raia wanawanyanyasa?,,,,,,lengo ni nini ujue,marekani nao wanainyonya congo kwa mu2mia huyo jamaa,,,ni kama unavoona ucraine anaimbia russia,,,wakati sapoti anaipa marekani na nato
 
Kagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
yaani kenya, uganda, burundi, sudan kusini, tanzania zipigwe na rwanda kwa pamoja? Haya ni maajabu duniani!
 
Hujui kiini cha mgogoro wa Mashariki ya Congo so ni vyema ukajua chimbuko kwanza! Banyamulemge ambao ni watusi waishio Congo so raia wa Rwanda na Kagame hahusiki nao. Hao ni raia wa Congo na wanapigania haki yao,kuwafukuza ama kumhusisha Kagame ni kuionea Rwanda, Tsekedi aendelee tu kushupaza shingo hadi Congo itumbukie shimoni.
hao watusi wa congo wanataka nini kwa tshesekedi? Kama wanataka kuanzisha taifa lao mashariki mwa congo si waseme tu wapewe kama itawezekena kuigawa congo?
 
Sasa hizo silaha za rwanda toka nje zinapitia nchi gani au hushushwa na ndege hapo kigali?
 
hao watusi wa congo wanataka nini kwa tshesekedi? Kama wanataka kuanzisha taifa lao mashariki mwa congo si waseme tu wapewe kama itawezekena kuigawa congo?
Walikuwa na ni wakongo...mkataba wa Berlin ndio uliigawa Congo na Rwanda kwa Ubeljiji so watutsi waliokuwa Congo wakabaki Zaire na wale wa Rwanda wakabaki Rwanda.
 
yaani kenya, uganda, burundi, sudan kusini, tanzania zipigwe na rwanda kwa pamoja? Haya ni maajabu duniani!
Israel pamoja na udogo wake lakini alikuwa anawapiga Kwa pamoja Gaza,Syria,Yemeni na lebanon.
 
Walikuwa na ni wakongo...mkataba wa Berlin ndio uliigawa Congo na Rwanda kwa Ubeljiji so watutsi waliokuwa Congo wakabaki Zaire na wale wa Rwanda wakabaki Rwanda.
kwa hiyo hao watusi wa congo wanataka waungane na wenzao wa rwanda kwa kumega congo mashariki. Sasa si watataka burundi na sehemu za magharibi mwa tanzania?
 
Hilo la kuungana na wa Rwanda umelisema wewe...wamasai wa Longido wakiamua kupigana na Tanzania ili kupingwa kufukuzwa nchini kwa madai kwamba wao kwao ni kenya ni sawa kabisa na haileti mantiki kwamba wanapewa support na serikali ya Kenya. Kwa kiburi cha Tsekedi wacha wauane tu hadi akimbie nchi ama kuuawa
 
wanataka nini sasa, nchi yao, yaani utanataka kusema kama kuna kabila fulani ndani ya nchi likijihisi kunyimwa haki lianzishe vita kujitenga na kuanzisha nchi yao? Hapana, huo ni ushenzi haukubaliki. Sema congo ni dhaifu kiulinzi
 
Mobutu alikataa kuwatambua, wakawa waasi,wakamsaidia Laurent Kabila kumng'oa Mobutu chini ya msaada wa Rwanda.
Kabila mkubwa akakiuka makubaliano wakamuua,mwanae akachukua nchi.
Jeseph aliweza kwenda nao sambamba nchi ikatulia.. Felix Tsekedi maisha yake kiasi kikubwa kakulia nje ya Kongo so sasa kashika dola kaziba masikio. Watauana mwisho atakimbia nchi arudi ubeljiji au ufaransa.
 
Back
Top Bottom