technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Rest in peace wapambanaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi nilivyo msikiliza dreva Mtanzania aliyekuwa Goma hivi karibuni nimeamini nidhamu ya wanajeshi wa Congo ipo chini mno bora hata ya mgambo. Siyo ajabu hatusikii shughuli ya JWTZ sababu wameona wenye nchi wenyewe hawataki kupigana badala yake wanataka majeshi ya nje ambayo kimsingi yana resources chache ndiyo yapigane mstari wa mbele.
Sitashangaa kusikia serikali ya Congo imeondoshwa madarakani sababu M23 kwa kiasi flani wanafanikiwa kuwashawishi viongozi wa nchi jirani kuwa wao hawana ugomvi na majirani na watalinda maslahi ya nchi jirani.
Kwani kunamjinga zaidi yako wewe,anayekubali kitawaliwa na raia wa inchi nyingine,ambayo hiyo inchi wewe huruhusiwi hata kuwa balozi,hivi unfamiliar kweli wewe?Wewe ndiye akili zako hazikutoshi kichwani mwako
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23.
Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa kishujaa na tutapigana kishujaa kulinda Amani ya Ukanda huu. JWTZ halijawa kurudi nyuma katika mapambano ya aina yoyote ile. Sisi ni washindi na tutashinda.View attachment 3222565View attachment 3222566
Anawapa kichapo nyie watutsi wenzake mnaomuabudu na kumuogopa.Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Hii imekaa kikamanda zaidi lakini ya yule mother huonekana kama futuhi.
Umeishia la ngapi!?Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Utoto raha sana......unapayuka tu. Ukichoka unaenda kula chapati na maharageKagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
Hujui kiini cha mgogoro wa Mashariki ya Congo so ni vyema ukajua chimbuko kwanza! Banyamulemge ambao ni watusi waishio Congo so raia wa Rwanda na Kagame hahusiki nao. Hao ni raia wa Congo na wanapigania haki yao,kuwafukuza ama kumhusisha Kagame ni kuionea Rwanda, Tsekedi aendelee tu kushupaza shingo hadi Congo itumbukie shimoni.Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Unataka nikale Nini?Utoto raha sana......unapayuka tu. Ukichoka unaenda kula chapati na maharage
Uimara wa Jeshi unategemea mambo mengi, endeleeni kuchagua viongozi wa hovyo, mkitarajia historia itwabeba.