Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wewe ndiye akili zako hazikutoshi kichwani mwakoAmiri Jeshi wetu mkuu wa ccm hatoshi.
Oktoba 2025 chagua rais kutoka Chadema na wabunge wengi kutoka Chadema.
Wale ni wahuni tu na siyo watetezi wa kitu chochote kileM23 wapo sahihi kupigania ardhi yao
Unajua kinachopiganiwa huko?Wale ni wahuni tu na siyo watetezi wa kitu chochote kile
Duuu tukifanya hatutokuwa serious kama taifaAmiri Jeshi wetu mkuu wa ccm hatoshi.
Oktoba 2025 chagua rais kutoka Chadema na wabunge wengi na kutoka Chadema.Pia chagua madiwani wengi kutoka Chadema.
Jitahidi wakati mwingine kuficha upumbavu wako,sawa sawa ?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23.
Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa kishujaa na tutapigana kishujaa kulinda Amani ya Ukanda huu. JWTZ halijawa kurudi nyuma katika mapambano ya aina yoyote ile. Sisi ni washindi na tutashinda.View attachment 3222565View attachment 3222566
Maneno ya lucka kama kawaida yake.Wewe ndiye akili zako hazikutoshi kichwani mwako
Kama ilivyo CCMWale ni wahuni tu na siyo watetezi wa kitu chochote kile
Ni kawaida, hata uwe na jeshi imara namna gani, kwenye mapambano lazima upoteze watuNdugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23.
Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa kishujaa na tutapigana kishujaa kulinda Amani ya Ukanda huu. JWTZ halijawa kurudi nyuma katika mapambano ya aina yoyote ile. Sisi ni washindi na tutashinda.View attachment 3222565View attachment 3222566
Yaani wewe hujawahi kuwa na akili hata siku moja. Umebeba kichwa kama mzigo tu.Jitahidi wakati mwingine kuficha upumbavu wako,sawa sawa ?
Wewe ndiye umewaua? Unaweza kutuwekea majina yao hapa? Acha kukurupuka na kuropoka ropoka tu hapaWaliokufa ni Zaidi ya 02 ni wengi sana sema hawawezi kusema