Duh! Hizi habari umezipata wapi mkuu?Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Hatuna uwezo wa kuweka paringi ba Kagame hata siku moja. Uwezo huo haupo. Atatumaliza asubuhi kabla ya misa ya misa ya kwanza.Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Mbona malalamiko ni mengi?.Uimara wa Jeshi unategemea mambo mengi, endeleeni kuchagua viongozi wa hovyo, mkitarajia historia itwabeba.
jamaa anatumika na ufaransa kuiba madini tangu miaka mingi sana,,,,unaambiwa kwa sasa ufaransa amekuwa jambazi sugu baada ya kufukuzwa kwenye nchi za afrika mangaribi ka bukina faso,mali na nchi nyingine nimeisahau,,,,so ufaransa umeme wake anatumia nyuklia na mdini yake alikuwa anapata huko,,,so ufaransa kapaniki,,,,,so kagame amepewa mpaka mifumo ya ulinzi wa anga ka israil,kapewa drone za kutosha,,,,,makomando wake wanapewa mafunzo ufaransa,,,makapuni ya kutengeneza simu yanategemea madini hayo kutoka congo[yanapatikaka congo kwa asilimia 80]....ujue ndo manake magufuli alikuwa anasema sisi ni matajiri,kiuhalisia,wazungu wanajivunia miundo mbinu tu,lakiniteknolojia yao bila afrika hamna ki2,,,umeona trump ameanza kuizingua south?????''''''{wanatfuta sababu walizoea kuinyonya wakati wa makaburu].....bro!!! wazungu hamna ki2 ni masikini kuliko wewe,,,walimuua gadafi,sada,sababu ya mafuta tu!! KAGAME yupo kwenye payroll ya CIA,,,,,,,,,,,,,,,WEZI TU!!Hivi ni kwamba huyu jamaa ni mbabe sana au maana katuchezeshea kichapo Cha mbwa Koko Kwa wanajeshi wetu amewaua wengine wanapumulia mipira halafu yupo kimya inamaana jeshi letu ni dhaifu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Kojoa jamba kalale we form four CKagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
Ian Kagame huyu au humjui ?Duh! Hizi habari umezipata wapi mkuu?
Weeee bwana weeee!!!! Mtutsi siyo bureKagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
unaonekana ni hamnazo kabisa.kuandika tu tatizo lakini unaidharau form four.Umesoma Hadi ngazi ipi ya elimu?Kojoa jamba kalale we form four C
kwa kuongezea tu!!!,,,,umeona baada ya rais wa afrika kusini kumpka mkwala kagame,si umeona trump amtishia kuiwekea vikwazo south afrika kwa sababu eti kuna tabaka la raia wanawanyanyasa?,,,,,,lengo ni nini ujue,marekani nao wanainyonya congo kwa mu2mia huyo jamaa,,,ni kama unavoona ucraine anaimbia russia,,,wakati sapoti anaipa marekani na natojamaa anatumika na ufaransa kuiba madini tangu miaka mingi sana,,,,unaambiwa kwa sasa ufaransa amekuwa jambazi sugu baada ya kufukuzwa kwenye nchi za afrika mangaribi ka bukina faso,mali na nchi nyingine nimeisahau,,,,so ufaransa umeme wake anatumia nyuklia na mdini yake alikuwa anapata huko,,,so ufaransa kapaniki,,,,,so kagame amepewa mpaka mifumo ya ulinzi wa anga ka israil,kapewa drone za kutosha,,,,,makomando wake wanapewa mafunzo ufaransa,,,makapuni ya kutengeneza simu yanategemea madini hayo kutoka congo[yanapatikaka congo kwa asilimia 80]....ujue ndo manake magufuli alikuwa anasema sisi ni matajiri,kiuhalisia,wazungu wanajivunia miundo mbinu tu,lakiniteknolojia yao bila afrika hamna ki2,,,umeona trump ameanza kuizingua south?????''''''{wanatfuta sababu walizoea kuinyonya wakati wa makaburu].....bro!!! wazungu hamna ki2 ni masikini kuliko wewe,,,walimuua gadafi,sada,sababu ya mafuta tu!! KAGAME yupo kwenye payroll ya CIA,,,,,,,,,,,,,,,WEZI TU!!
yaani kenya, uganda, burundi, sudan kusini, tanzania zipigwe na rwanda kwa pamoja? Haya ni maajabu duniani!Kagame anajeshi Bora na lenye weledi kuzidi majeshi yote afrika.Anaweza kuzichapa Nchi zote za afrika mashariki Kwa wakati mmoja na kuzishinda.
hao watusi wa congo wanataka nini kwa tshesekedi? Kama wanataka kuanzisha taifa lao mashariki mwa congo si waseme tu wapewe kama itawezekena kuigawa congo?Hujui kiini cha mgogoro wa Mashariki ya Congo so ni vyema ukajua chimbuko kwanza! Banyamulemge ambao ni watusi waishio Congo so raia wa Rwanda na Kagame hahusiki nao. Hao ni raia wa Congo na wanapigania haki yao,kuwafukuza ama kumhusisha Kagame ni kuionea Rwanda, Tsekedi aendelee tu kushupaza shingo hadi Congo itumbukie shimoni.
Walikuwa na ni wakongo...mkataba wa Berlin ndio uliigawa Congo na Rwanda kwa Ubeljiji so watutsi waliokuwa Congo wakabaki Zaire na wale wa Rwanda wakabaki Rwanda.hao watusi wa congo wanataka nini kwa tshesekedi? Kama wanataka kuanzisha taifa lao mashariki mwa congo si waseme tu wapewe kama itawezekena kuigawa congo?
Israel pamoja na udogo wake lakini alikuwa anawapiga Kwa pamoja Gaza,Syria,Yemeni na lebanon.yaani kenya, uganda, burundi, sudan kusini, tanzania zipigwe na rwanda kwa pamoja? Haya ni maajabu duniani!
kwa hiyo hao watusi wa congo wanataka waungane na wenzao wa rwanda kwa kumega congo mashariki. Sasa si watataka burundi na sehemu za magharibi mwa tanzania?Walikuwa na ni wakongo...mkataba wa Berlin ndio uliigawa Congo na Rwanda kwa Ubeljiji so watutsi waliokuwa Congo wakabaki Zaire na wale wa Rwanda wakabaki Rwanda.
hizo nchi ni ndogondogoIsrael pamoja na udogo wake lakini alikuwa anawapiga Kwa pamoja Gaza,Syria,Yemeni na lebanon.
Hilo la kuungana na wa Rwanda umelisema wewe...wamasai wa Longido wakiamua kupigana na Tanzania ili kupingwa kufukuzwa nchini kwa madai kwamba wao kwao ni kenya ni sawa kabisa na haileti mantiki kwamba wanapewa support na serikali ya Kenya. Kwa kiburi cha Tsekedi wacha wauane tu hadi akimbie nchi ama kuuawakwa hiyo hao watusi wa congo wanataka waungane na wenzao wa rwanda kwa kumega congo mashariki. Sasa si watataka burundi na sehemu za magharibi mwa tanzania?
wanataka nini sasa, nchi yao, yaani utanataka kusema kama kuna kabila fulani ndani ya nchi likijihisi kunyimwa haki lianzishe vita kujitenga na kuanzisha nchi yao? Hapana, huo ni ushenzi haukubaliki. Sema congo ni dhaifu kiulinziHilo la kuungana na wa Rwanda umelisema wewe...wamasai wa Longido wakiamua kupigana na Tanzania ili kupingwa kufukuzwa nchini kwa madai kwamba wao kwao ni kenya ni sawa kabisa na haileti mantiki kwamba wanapewa support na serikali ya Kenya. Kwa kiburi cha Tsekedi wacha wauane tu hadi akimbie nchi ama kuuawa
Mobutu alikataa kuwatambua, wakawa waasi,wakamsaidia Laurent Kabila kumng'oa Mobutu chini ya msaada wa Rwanda.wanataka nini sasa, nchi yao, yaani utanataka kusema kama kuna kabila fulani ndani ya nchi likijihisi kunyimwa haki lianzishe vita kujitenga na kuanzisha nchi yao? Hapana, huo ni ushenzi haukubaliki. Sema congo ni dhaifu kiulinzi