Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza.

Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia kwenye makorongo makali na hakuna wakutunasuwa.

Hapa jamaa zangu wa kuona mbali kama walishauri au hawakushauri huu mlima unaenda kuwa the big test of all time in history of this nation. U know why?

Tumefanya siasa zakurusha mawe ndani mwisho yukaanza kurusha mawe mpaka kwa majirani kwa bahati mbaya Samahan kusema hivyo hata sisi nyumba yeni ni ya vioo tena vioo vyepesi sana. Jiwe moja unaporomosha upande mzima wa vioo mbaya kuliko yote sasa jamaa wanaijuwa nyumba in and out. How walijuwa kuna siku tutabadilika na leo wanafanya sherehe walicho kitabiri kinatokea na sasa ni zam yakuangusha nyuma step by step.

Covid 19 kwao ni kama mlima wa mauti kwa africa na anguko kwa mataifa yanao wasumbuwa. Jambo tumelikosea na uwenda tumechemka dereva hakupasw hata fungua mdomo kusema chochote badala yake angekuwa anasikiliza kilio cha abiria nakuweka ujuwaji wa kuendesha ili kuwapumbaza watesi wake. Sasa mlima unakona kali na hauna lami tuliiona pale mwanzo je nn kitatokea?

Kama nikudanganya huwez wadanganya maana wapo ndani ya mfumo na ningumu kuwa baini sera na mikataba tuliingia nao inatubana leo yani kweli tukashindwa kuwa wanafiki na sisi tukawa katika sehemu ya kupumua kidogo. Mfano JK hakuwapenda sana chadema ila aliposoma nyakati na akiangalia sera zake akawaita pale magogoni wakapata tea Aljazeera wakarusha vyombo vya habari wakarusha mambo mswano, leo mnafanya picha hata mtoto anajuwa picha? Jamani mnatuangusha kiukweli.

This is a test of time Mungu alitete hili taifa maana macho yote kwa John. Kama John ndio amesimamia msimamo well let trust the process ila haiwezi kuwa kama tunavyo dhani. This is silence killing, today USD is how much? Prof BoTwhat ye say yesterday? We have strong reserve Hii ni aibu na aina hii yaunafiki mnampoteza dereva yani kitu kinachokuwa determine by demand and supply unatudanganya kiasi hiko if ye have strong reserve why thamani ya Tanzania inashuka kwa kasi? Why USD inapanda kwa kasi? Hii ni zaidi ya aibu kwaheri.
 
Lazima lawama azibebe yeye kayataka haya mwenyewe.hiingoma lazima akatike mauno.
 
Vipi zile sala ulizowaambia raia hapa wasali, ukiwaaminisha kuna tukio kubwa linaenda kutokea kwenye historia ya nchi zilifika? Hivi unajua unaonekana umechanganyikiwa na watu wanaamini unahusika na kupotea kwa Saa 8? Think..
 
Mbaya ni pale wanapoficha data za wagonjwa wa Covid - 19,hii sijui ni kwa faida ya nani wakati mtaani hali ni mbaya.
 
Tuna tatizo kubwa sana watz kuliko hata jiwe kuwa raisi!!kwani hao TISS Walifanyaje vetting ya namna hii?idara yetu ya ujasusi ilikuwa haijui haya?Ina maana hata kitovu cha usalama wa nchi kimeoza?hadi kituletee kituko kitalani???Tatizo ni TISS Iliyojaza Wanachama wa CCM bila kujali Professionalism!!!
 
Hapa jamaa zangu wa kuona mbali kama walishauri au hawakushauri huu mlima unaenda kuwa the big test of all time in history of this nation. U know why?
A true genius thinks alone, he never follows the masses.
 
Back
Top Bottom