Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

A true genius thinks alone, he never follows the masses.


A true Genius work on what others see for which he needs to digest so as to have a good outcomes.

No one knows everything though he/she may know many things.
 
naweza kupa few reasons: ya kwanza ambayo ni kubwa ni you are illiterate.The US dollar is the global reserve currency for almost all the nations on earth apart from 4 countries i think ambayo ni china, russia, south korea, afganistan. but do you even know whats a reserve currency afterall?

here is a summary of how things work, every currency on earth has to be backed up by something behind, before we began using the us dollar: every currency was backed by Gold, but the problem is that there are few golds than the world population, so what do you do? the answer is simple print money according to the population needs but how will you trade internationaly?? simple US DOLLAR, so all nations money supply needs the us dollars to trade globally and with that said your currency is now under the us dollar how are you expecting to surpas it? in simple terms the us dollar is called FIANT MONEY meaning LET IT BE DONE

second: money has no value WTF? unaongea nn? chil chil chil
iko ivi ukienda kununua kitu dukani for example nguo, muuzaji atakuangalia alafu atakupa bei ambayo atataka uamini ndio bei halisi mfano umekuta shati, muuzaji atakwambia nipe 30K tu, wewe utasema hapana nna 15K ataangalia kama inaendana endana kama kuna profit basi atasema poa leta hio hela. kwahio huyo muuzaji kakuaminisha kwamba ndio nei ya hilo shati, but what if asingesema bei wewe ungebuni vp bei? so now you know money is VALUELESS, in real life money is just a game of numbers, a game of surpassing inflation! wewe unaona maisha ni magumu because of this simple concept ambayo hujui na hujawahi kuchukua mda kujifunza
 
Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza.

Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kiliman gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia kwenye makorongo makali na hakuna wakutunasuwa.

Hapa jamaa zangu wa kuona mbali kama walishauri au hawakushauri huu mlima unaenda kuwa the big test of all time in history of this nation. U know why?

Tumefanya siasa zakurusha mawe ndani mwisho yukaanza kurusha mawe mpaka kwa majirani kwa bahati mbaya Samahan kusema hivyo hata sisi nyumba yeni ni ya vioo tena vioo vyepesi sana. Jiwe moja unaporomosha upande mzima wa vioo mbaya kuliko yote sasa jamaa wanaijuwa nyumba in and out. How walijuwa kuna siku tutabadilika na leo wanafanya sherehe walicho kitabiri kinatokea na sasa ni zam yakuangusha nyuma step by step.

Covid 19 kwao nikama mlima wa mauti kwa africa na anguko kwa mataifa yanao wasumbuwa. Jambo tumelikosea na uwenda tumechemka dereva hakupasw hata fungua mdomo kusema chochote badala yake angekuwa anasikiliza kilio cha abiria nakuweka ujuwaji wa kuendesha ili kuwapumbaza watesi wake. Sasa mlima unakona kali na hauna lami tuliiona pale mwanzo je nn kitatokea?

Kama nikudanganya huwez wadanganya maana wapo ndani ya mfumo na ningumu kuwa baini sera na mikataba tuliingia nao inatubana leo yani kweli tukashindwa kuwa wanafiki na sisi tukawa ktk sehem yakupumua kidogo... Mfano JK hakuwapenda sana chadema ila aliposoma nyakati na akiangalia sera zake akawaita pale magogoni wakapata tea aljazeera wakarusha vyombo vya habari wakarusha mambo mswano, leo mnafanya picha hata mtoto anajuwa picha? Jaman mnatuangusha kiukweli.

This is a test of time Mungu alitete hili taifa maana macho yote kwa John. Kama John ndio amesimamia msimamo well let trust the process ila haiwez kuwa kama tunavyo dhani. this is silence killing today Usd is how much? Prof BOt what ye say yesterday? We have strong reserve Hii ni aibu na aina hii yaunafiki mnampoteza dereva yani kitu kinachokuwa determine by demand and supply unatudanganya kiasi hiko if ye have strong reserve why thamani ya tz inashuka kwa kasi? Why usd inapanda kwa kasi? Hii ni zaidi ya aibu kwaheri.


kuna mda mwingine inabidi muachwe muelewe kama mnavoelewa not because life is bad but because you chose life to be worse for you, i think on this whole post all the answers are just available online and they arent even political, so you chose to be stupid infront of people
 
Eh! Walisema humu watu itafika siku wote tutaongea LUGHA moja. Hata wewe Mkuu? Duh! ila nikupe hongera kwa KUJITAMBUA na nategemea hutageuka nyuma.
Kwema rafiki?!
Tulikumiss sana ujue!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kusifu na Kuabudu kumezaa mbogo
Tuliwaambia
 
A true Genius work on what others see for which he needs to digest so as to have a good outcomes.

No one knows everything though he/she may know many things.
What if, those others are blind?
 
Leo nimesikia taarifa ya habari ya BBC World Service, wanasema Ubalozi wa Marekani unetoa tamko kwa raia wa Marekani kwamba hali ni mbaya sana hususan Dar es salaam, halafu hospitali hazina nafasi ya kuchukua wagonjwa wapya wa Covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe ukawaamini? Wacheck hewani ndg zako huku bongo hususan walio Dar waulize kuhusu hali ya Dar.
Huo ugonjwa upo kwenye media tu,
huku uswazi bata km kawa na hakuna kuumwa wala kufa. Hata barakoa tushapunguza mbwembwe za kuvaa.
 
Back
Top Bottom