FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, wakatu mtu hajawahi kufanya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria wehu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpaka nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka haoni huu utu mbo wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adui ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.