Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Udini (dini) ndiyo ujinga unaongoza duniani.
Sababu ambazo zinazoweza kuleta vita dini ipo.
Unaanzaje kumuua mwenzako kisa huyo mungu ambaye haujawahi kumuona?
 
Mimi niondoe sio mjinga,wajinga ni madalali wanao shadadia mikataba mibovu kwa kupewa buku jero kila siku.
 
Udini (dini) ndiyo ujinga unaongoza duniani.
Sababu ambazo zinazoweza kuleta vita dini ipo.
Unaanzaje kumuua mwenzako kisa huyo mungu ambaye haujawahi kumuona?
Sasa huo uliouandika kama si ujinga ni nini?

Nimefurahi kuwa hujaipinga hoja yangu, umeiona hoja lakini, au ndiyo ujinga umekujaa?
 
Ujinga mpaka asubuhi, unaanza kuleta ubishi wa kijinga. Huna zaidi ya ujinga tu.

"Huuoni" maana yake, una macho lakini hayaoni. Ni ujinga tu uliokujaa.
Sasa unatofauti gani na mimi niliyeandika "kiudini"
Kwanza uko wapi ? Kwangu mimi sio asubuhi sasa
 
Mimi niondoe sio mjinga,wajinga ni madalali wanao shadadia mikataba mibovu kwa kupewa buku jero kila siku.
haya tueleze kwa kutokuwa "mjinga" umeshafanya nini cha kukuondoa kwenye ujinga?

Mkataba mbovu upi unaouongolea wewe, kuongea kijumlajumla ni ujinga wa kukosa hoja.
 
Acha kuita watu wajinga! Hebu kuwa na heshima kidogo humu kila mtu huchangia mada na mawazo tofauti tofauti kutokana na jinsi anavyofikiria.

Kutofautiana kifikra isiwe sababu ya kuitana watu wajinga. Na wala usifosi tuwe na mawazo mgando na yenye Udini mwingi kama yako.
 
Adui wa Mtanzania ni CCM
 
Hivi nani hasa walau mmoja kwa hapa Tanzania anaweza kuwa na akili kidogo, walau kidogo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…