Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Tatizo ni pesa za mikopo zote hizo alizo ongeza
 
Mwenye aibu simuoni pia maana kuendesha kesi kama ile inahitaji roho ngumu.
 
Unataka akalime mkuu Wangu?

Urais ni taasisi chief
 
Duuh
 
Unaomba msaada JF!!!

njooni kwa hoja ,CCM ya Sita sio mchezo,

Kila baada ya uchaguzi mmoja yanaanza maandalizi ya uchaguzi unaofuata,

So relax ndio kwanza tumeanza kazi,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Unajuwa kusoma lakini huna uwezo wa kuelewa ulichosoma?

Ni wapi nilipoomba msaada wa JF.

Nimewafahamisha tu kwamba wewe ni jizi unayetumia mali yao kujitangaza bila ya kutoa malipo stahiki.

Hiyo CCM unayojigamba nayo ni ipi, ya kutumia mapolisi na vyombo vingine vya dola?

Ninaposema wewe ni 'kiazi' ujuwe sikurupuki.
 
Asante sana kwa kutuletea habari njema kama hizi.Unatufahamisha mengi,unatufanya tuzidi kumpenda Rais wetu Mpendwa,mama yetu,Samia.Sisi wananchi wa kawaida,huwa hatuzipati habari hizi,ila sasa twazipata kupitia kwako.
 
Miezi ya mwanzo mwaka huu tuliambiwa tuna akiba ya miezi 6!Mbona hatuhoji kuambiwa akiba imeongezeka na sasa tuna akiba ya miezi 3?
Nimeuliza humu ikiwemo mleta mada lakini sijapata jibu!
 
Sisi wananchi wa kawaida,tunakuelewa vizuri.
 
Miezi ya mwanzo mwaka huu tuliambiwa tuna akiba ya miezi 6!Mbona hatuhoji kuambiwa akiba imeongezeka na sasa tuna akiba ya miezi 3?
Nimeuliza humu ikiwemo mleta mada lakini sijapata jibu!
Miezi Sita ni kuagiza nje miezi mitatu ni kula na kulala
 
Chadema vichwa ngumu sana
Madhali wananchi tulio wengi,tunamuelewa Rais wetu,na huyu anayetuletea taarifa pia tunamuelewa,na sisi tunaemuelewa tunawafahamisha wenzetu,nao pia wanatuelewa.Inatosha.Tupeni taarifa,tutawaelewesha wenzetu.
 
Miezi Sita ni kuagiza nje miezi mitatu ni kula na kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…