Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Kunyamaza sio kuwa cha kusema au kuuliza hatuna

Haya pesa za kigeni zimeongezeka kusema tu zimeongezeka hakutoshi ,Kilichosababisha ziongezeke ni kitu gani? Je ni mauzo yetu ya bidhaa nje ya nchi? Au ni mikopo ambayo tumekopa ili tuwe na uhakika wa kula hiyo miezi kwa hela za kukopa ?

Nini kimesababisha hilo ongezeko la pesa za kigeni ghafla ni PESA za misaada ya COVID 19 au ni nini? Tufafanulie wewe.Nini kimesababisha huo mpando? Kabla hatujapiga makofi na

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Wenye akili walihama Chadema kwa kuwa malaya wa kisiasa na kununuliwa? Una akili timamu wewe!? Kama Mtanzania baada ya miaka 60 ya kuwa huru unajivunia kipi? Wenye akili maccm wanahofia Katiba mpya n Tume huru ya uchaguzi. Wanahofia uchaguzi huru na wa haki. Wanapora chaguzi kupitia polisiccm na Tume FEKI ya uchaguzi. Kwako wewe hizi ndiyo akili!!! 😳😳😳
Eti jabali la siasa hahahahaha ujinga mwisho lumumba siyo humu.

Haya mambo hayawezi kuwasaidia chadema lazima ife tu

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Acha ujinga wewe!!! Yule dhalimu magufuli pamoja na udikteta ná udhalimu wake wa kuua Viongozi na wanachama, wapenz na mashabiki wa Chadema, kuwabambikia kesi fake na kuwafunga lakini Chadema haikufa ná ndiyo ilizidi kuwa very powerful all over the country. Hakuna wa kuiua Chadema mtasubiri sana. Dhalimu kafa yeye na Chadema bado INADUNDA na kuwa tishio kubwa kwa maccm.

Haya mambo hayawezi kuwasaidia chadema lazima ife tu

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Kama anatisha ndg yangu,

Namuona YEHODAYA anauliza mambo ya kijinga huyu mwanaccm sijui nini kimempata,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Yehodaya ana kisununu....

Yehodaya ni mwanaCCM wa "upepo" wa mtu.....

SIEMPRE CHIEF MKUU HANGAYA 🙏
SIEMPRE CCM

#Kazi Iendelee kwa Kasi &Weledi Zaidi
 
Acha ujinga wewe!!! Yule dhalimu magufuli pamoja na udikteta ná udhalimu wake wa kuua Viongozi na wanachama, wapenz na mashabiki wa Chadema, kuwabambikia kesi fake na kuwafunga lakini Chadema haikufa ná ndiyo ilizidi kuwa very powerful all over the country. Hakuna wa kuiua Chadema mtasubiri sana. Dhalimu kafa yeye na Chadema bado INADUNDA na kuwa tishio kubwa kwa maccm.
Ndio hapa CUF haijafa mbona,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Apuuzwe tu hatufai,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Aaaagh komredi....

Ndugu zetu hao wako wengi tu.....itikadi zao za ajabuajabu....

Lini mwanaCCM aliyeiva itikadi ya chama anakuwa hasimu wa kazi za mwenyekiti wake?!!!
Lini?
Lini?!!

Inasikitisha.....
 
hahahahahaha CUF nacho ni chama cha upinzaniÉ Tangu lini? Hebu tia akili kichwani uache kuonyesha ujuha wako hadharani. Umesahau kwamba Lipumba alisaidiwa na Serikali hii haramu kupitia msajili wa vyama vya siasa na polisiccm kumpora Sheif Shariff Hamad chama chake cha CUF? Lini dhalimu magufuli alifanya juhudi ya KUIUA CUF?

Ndio hapa CUF haijafa mbona,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
CUF mbona haijafa mkuu?

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Aaaagh komredi....

Ndugu zetu hao wako wengi tu.....itikadi zao za ajabuajabu....

Lini mwanaCCM aliyeiva itikadi ya chama anakuwa hasimu wa kazi za mwenyekiti wake?!!!
Lini?
Lini?!!

Inasikitisha.....

Hawatafanikiwa kwani umma umemwelewa sana mama,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Naona mnapiga promo ili mueleweke, mwambieni alipe madeni ya watumishi, tangu 2014 watu hawajalipwa stahiki zao, riba za mabenki kwa watumishi wa umma zipo juu, riba ni double digit punguzeni hadi single digit mbona kodi imepunguzwa na kuwa single digit, punguzeni pia makato ya NHIF punguzeni iwe 0.5% kwa mwezi kwa mshahara!! Hali ngumu hatuna hata posho..
 
Mbona alishatoa 449BL kwa swala hilo,

Kwani wewe hujalipwa,

Zimetengwa tena 200BL nadhani zitakufikia tu
 
W
Makubwa haya yako wapi na hafanyi yeye sema mfumo unaanza kutengenezwa kurekebisha makosa aliyofanya na Mwendazake. Pia inawezekana vipi akatoa mafanikio hayo ambayo yalipaswa kutolewa na Waziri wa Fedha ama CAG. Tuache kudanganyana.
Wakati wa Magufuri tulikuwa na akiba ya kula miezi 6,kwa Samia tuna ya miezi 3😄😀😁
 
Back
Top Bottom