Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Ngoja nikutafutie hiyo taarifa!Sikusikia mkuu Wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikutafutie hiyo taarifa!Sikusikia mkuu Wangu
Sikusikia mkuu Wangu
EeeenHeeee!I capitalize,
Wazo zuri sana hili mkuu,
Nikweli 100%
#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Hahaha, nyie sasa mmehamishia chama na harakati zote mahakamani kwa kesi za kipuuzi puuzi ambzo watu makini wanaweza kuziepuka kabisa, leo hii shughuli zote za chama mmesimamisha eti sababu kesi ya Mbowe! Mungu atuepushilie mbali na hili zimwi linalojiita Chama cha demokrasia wakati wamejaza madudu matupu huko chamani kwao! Katika majanga aliyotuachia Jk mojawapo ni hawa watumwa wake wa kisiasa CDM
Ngoja nikutafutie hiyo taarifa!
Chadema iko mioyoni mwa Watanzania wewe!!!! Yule dhalimu mwendazake alijua kwamba Chadema ilishajifia kwa upuuzi wake wa kidikteta na kidhalimu. Yeye na MATAGA wenzio walishangaa kwa muziki wa Chadema nchi nzima kwa umati ulivyokuwa NYOMI wakati wa kampeni.
Huyu jamaa anahangaika balaa,Pole sana mkuu,
Endelea kujifariji to,
Wenye akili wote walihama Chadema
Utajua hujui hicho kiazi,EeeenHeeee!
Kumbe kampeni meneja mwenyewe ni kiazi?
Basi SAWA!
comment namba 173 kuna link hapo!sawa hebu tuione mkuu wangu
Mipasho nayo umo!Utajua hujui hicho kiazi,
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Unaomba msaada JF!!!Huyu mtu CM 1774858 ndiye kapewa kazi ya Kufanya kampeni ya 2025 kungali mapema namna hii?
JF, mnapata ujira sahihi wa matangazo haya yanayofanyiwa kwenye ukumbi wenu huu?
😍Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo, Akiba hii ya fedha za kigeni ni muhimu sana kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo in EAC kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 4.5 mfukulizo.
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya Tshs 10trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya Tshs 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 500b, kujenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi na mengine mengi bado amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na kufikia jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo mzuri sana,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifiki na kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku Tshs 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye,
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kulipa madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Hakuna kama Samia,Mipasho nayo umo!
🤣🤣Akae tu kwa kutulia...atulie tu huyo bwanaUnaomba msaada JF!!!
njooni kwa hoja ,CCM ya Sita sio mchezo,
Kila baada ya uchaguzi mmoja yanaanza maandalizi ya uchaguzi unaofuata,
So relax ndio kwanza tumeanza kazi,
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Pole sana mkuu,
Endelea kujifariji to,
Wenye akili wote walihama Chadema