Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Kadili ndiyo nini mpuuzi wewe? Huo uchumi wako mwitu uliosomea peleka lumumba siyo humu eti unataka kudanganya watu mkopo ni income!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama huna fani ya uchumi kadili maswala ya mapenzi na mengine ya huko kwenye saccos yenu,haya yako beyond your understanding ndio maana unahangaika sana na neno loan.
 
Hata wakisema tuna Dola billion 50 Nani anaweza Ku verify kile wanachosema? Huyu mama na Serikali yake kitu pekee ninachoweza kuwaamini ni salamu tu zaidi ya hapo ni uongo Tu .
Kwa hiyo,mwendazake na mauongo yake ya mchana kweupe na data za kupika ndiye ulikuwa unamwamini?

Nyinyi taga shida sana! Kila kitu chema cha serikali ya awamu ya sita ni kuponda tu. Chuki zenu zitawaua.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ila wewe unayezuka kila siku humu na FAKE NEWS ndiyo umestaarabika siyo!? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
UTATESEKA SANA,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kadili ndiyo nini mpuuzi wewe? Huo uchumi wako mwitu uliosomea peleka lumumba siyo humu eti unataka kudanganya watu mkopo ni income!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio income ,makamasi yako ndio income.
 
Reserve inalimiti yake,

Ndio maana EAC ni 4.5months

Sio lengo la nchi kuwa na reserve kubwa sana kwani pesa hii inahitajika kwaajili ya mzunguko,

Miezi sita ni kiwango cha kimataifa,

Ndio maana hatushindanii kufika mwaka au miaka miwili ila The Standard ambayo ni miezi 6

Kuwa below 6months ndio shida that's Why Leo tunafurahia kuwa at standard level,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Maelezo mazuri sana,

Mama Samia ametufuta machozi kabisa,
Uchaguzi wa 2025 kaishaumaliza tayari,
Hakuna kabisa kama Samia
 
Mtu kama haamwamini Rais Samia je kipindi kile cha mapambio ndicho walichoamini? Hii ni Bongoland mwamba ngozi huvutia mguuni.
 
Mtu kama haamwamini Rais Samia je kipindi kile cha mapambio ndicho walichoamini? Hii ni Bongoland mwamba ngozi huvutia mguuni.
Hayati Magufuli na Rais Samia wote hawa ni wana CCM
 
Yaani kama U.S.A ana madeni,ni nani tuogope kukopa?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.​


"Hakuna kama Samia "​


Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo, Akiba hii ya fedha za kigeni ni muhimu sana kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo in EAC kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 4.5 mfukulizo.

Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya Tshs 10trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya Tshs 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 500b, kujenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi na mengine mengi bado amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na kufikia jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo mzuri sana,

Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifiki na kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku Tshs 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye,

Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,

Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kulipa madeni ya nje,

Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,

Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

Huyu Mama atawale milele,
Mama hana kelele
Mama hana majivuno
Mama hana kejeli
Mama hana matusi
Mama mnyenyekevu
Mama mpole
...
 
Duh! mkuu nadhani kwa hili unapindukia mipaka, kwa nini usiendelee kumkashifu yeye a usiingize wazazi wake! ambao si ajabu hawajui kuwa kuna huu mjadala unaendelea! na pengine sio kosa lao kama unavyofikiri kuwa walishundwa kumpa elimu nzuri, what if they did and it was CM him/herself who refused to catch up with the given opportunity Sir?
Huyu Chadema imemmaliza kabisa akili
 
Unasema deni la Taifa limefika Trillion 77 lakini hujasema ni asilimia ngapi ukilinganisha na Pato la Taifa Yani Debt to GDP ratio, Na hujatoa Angalizo kama Deni ni Stahimilivu au Lah
 
Back
Top Bottom