CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #181
Kunyamaza sio kuwa cha kusema au kuuliza hatuna
Haya pesa za kigeni zimeongezeka kusema tu zimeongezeka hakutoshi ,Kilichosababisha ziongezeke ni kitu gani? Je ni mauzo yetu ya bidhaa nje ya nchi? Au ni mikopo ambayo tumekopa ili tuwe na uhakika wa kula hiyo miezi kwa hela za kukopa ?
Nini kimesababisha hilo ongezeko la pesa za kigeni ghafla ni PESA za misaada ya COVID 19 au ni nini? Tufafanulie wewe.Nini kimesababisha huo mpando? Kabla hatujapiga makofi na
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI