Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
nzuri sana hii
 
Ndio
 
 
Chapa kazi mama,
 
Tanzania yangu nakupenda sana,
 
Kalishwe pekee yaka sisi tunataka tujilishe kwa tunachotaka.

Alafu tumechoka na sifa za kijinga.

Tunataka pesa mifukoni kila mtu akale kwake na sio kulishwa.
 
Mimi binafsi sijawahi ona kasi ya Rais ya namna hii, Nakupongeza Samia
 
Ndio tunakoelekea kama mambo yenyewe ndio haya,
Kalishwe pekee yaka sisi tunataka tujilishe kwa tunachotaka.

Alafu tumechoka na sifa za kijinga.

Tunataka pesa mifukoni kila mtu akale kwake na sio kulishwa.
 
Makubwa haya yako wapi na hafanyi yeye sema mfumo unaanza kutengenezwa kurekebisha makosa aliyofanya na Mwendazake. Pia inawezekana vipi akatoa mafanikio hayo ambayo yalipaswa kutolewa na Waziri wa Fedha ama CAG. Tuache kudanganyana.
Unachokataa ni nini hapo, Hueleweki
 
 
KAZIIENDELEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…