CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #281
Naelewa kazi nzuri inayofanywa na Rais wangu,Na wahisani wanaunga mkono juhudi za mh.Rais kama hivi 👇
View attachment 1990657
View attachment 1990658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa kazi nzuri inayofanywa na Rais wangu,Na wahisani wanaunga mkono juhudi za mh.Rais kama hivi 👇
View attachment 1990657
View attachment 1990658
nzuri sana hiiRais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,
miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000
Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Ni nzurinzuri sana hii
nzuri sana hii
NdioAkiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo, Akiba hii ya fedha za kigeni ni muhimu sana kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo in EAC kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 4.5 mfukulizo.
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya Tshs 10trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya Tshs 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 500b, kujenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi na mengine mengi bado amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na kufikia jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo mzuri sana,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifiki na kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku Tshs 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye,
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kulipa madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo, Akiba hii ya fedha za kigeni ni muhimu sana kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo in EAC kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 4.5 mfukulizo.
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya Tshs 10trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya Tshs 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 500b, kujenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi na mengine mengi bado amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na kufikia jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo mzuri sana,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifiki na kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku Tshs 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye,
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kulipa madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu
Unafahamu maana ya propaganda? Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.www.jamiiforums.com
Chapa kazi mama,Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
Tanzania yangu nakupenda sana,Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
KazieiendeleeTanzania yangu nakupenda sana,
Mkuu umekuwa adimu sana aiseNa wahisani Wana imani kubwa Sana na Mh.Rais kama hivi yaani 👇
View attachment 1987988
View attachment 1987989
View attachment 1987990
View attachment 1987991
Kalishwe pekee yaka sisi tunataka tujilishe kwa tunachotaka.Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
Mimi binafsi sijawahi ona kasi ya Rais ya namna hii, Nakupongeza SamiaAkiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
Kalishwe pekee yaka sisi tunataka tujilishe kwa tunachotaka.
Alafu tumechoka na sifa za kijinga.
Tunataka pesa mifukoni kila mtu akale kwake na sio kulishwa.
Nani kasema ameenda kuomba mjomba?Sasa Mama ameenda kuomba nini Misri wakati tuna forex za kumwaga.
Unachokataa ni nini hapo, HuelewekiMakubwa haya yako wapi na hafanyi yeye sema mfumo unaanza kutengenezwa kurekebisha makosa aliyofanya na Mwendazake. Pia inawezekana vipi akatoa mafanikio hayo ambayo yalipaswa kutolewa na Waziri wa Fedha ama CAG. Tuache kudanganyana.
NimeelewaUkweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?
Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu. Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...www.jamiiforums.com
KAZIIENDELEE👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,
Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29