Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Makubwa haya yako wapi na hafanyi yeye sema mfumo unaanza kutengenezwa kurekebisha makosa aliyofanya na Mwendazake. Pia inawezekana vipi akatoa mafanikio hayo ambayo yalipaswa kutolewa na Waziri wa Fedha ama CAG. Tuache kudanganyana.
Wote hao kawateua yeye na wanaripoti kwake,

Shida iko wapi kutoa hiyo taarifa yeye?

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Wacha uongo wewe!!!! Kwa hiyo miezi 7 aliyokuwa madarakani amefanya yepi ya kuingiza hela yote hiyo zaidi ya mikopo ya COVID-19 toka ADB na IMF na sasa Chifu matonya anafukuzia mkopo mwingine WB?

Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameziongeza kwa Tzs 2.3T zimefika $5.8b toka $4.8b mwezi March | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri.

"Hakuna kama Samia "​

Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo, Akiba hii ya fedha za kigeni ni muhimu sana kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo in EAC kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 4.5 mfukulizo.

Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya Tshs 10trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya Tshs 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 500b, kujenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi na mengine mengi bado amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na kufikia jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo mzuri sana,

Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifiki na kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku Tshs 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye,

Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,

Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kulipa madeni ya nje,

Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,

Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1970739
 
Wote hao kawateua yeye na wanaripoti kwake,

Shida iko wapi kutoa hiyo taarifa yeye?

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Kwa uandishi huu sidhani kama zimetimia. Ndio tunahitaji katiba mpya Rais awe chini ya Wananchi sio kuajuu yetu. Brazil wanakinukisha kaa Rais wao. Hapa Kenya tu Rais hawezi kujiongelea tu vitu hewa.
 
Wacha uongo wewe!!!! Kwa hiyo miezi 7 aliyokuwa madarakani amefanya yepi ya kuingiza hela yote hiyo zaidi ya mikopo ya COVID-19 toka ADB na IMF na sasa Chifu matonya anafukuzia mkopo mwingine WB?
Nani kakwambia Loan sio income wewe Chadema?

Loan ni income pia liability,

Wacha akope maadamu anakopesheka kwa hizo riba za 0.56% hadi 2%

Hata kama mimi ningekopa tu ili kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wangu

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Taliban wakisikia kuna nchi inaongozwa na mwanamke watasikitika sana....
 
Toa ujinga wako hapa loan ni specific kwa ajili ya COVID-19 wewe utasemaje ni akiba. Lian inakuwaje income wakati una obligation ya kulipa principle na interest?

Nani kakwambia Loan sio income wewe Chadema?

Loan ni income pia liability,

Wacha akope maadamu anakopesheka kwa hizo riba za 0.56% hadi 2%

Hata kama mimi ningekopa tu ili kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wangu

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kaziongeza toka wapi? Mfukoni kwake au?
Nyie ngojeni tu mkianza kukamuliwa mbupu msilie tu.
 
Kwa uandishi huu sidhani kama zimetimia. Ndio tunahitaji katiba mpya Rais awe chini ya Wananchi sio kuajuu yetu. Brazil wanakinukisha kaa Rais wao. Hapa Kenya tu Rais hawezi kujiongelea tu vitu hewa.
Kwani mliokula zile 235bl za katiba mpya sio nyie Chadema,

Mlipoona siku za posho zimeisha mkaanzisha UKAWA ili kuvuruga zoezi la upatikanaji wa katiba mpya, au sio nyie mlifanya kukoseka kwa 2/3 bunge la katiba?

Wahuni nyie na katiba mpya mtaisoma kwenye Rasimu tu,

Tuache kupeleka maji vijijini tuhangaike na wahuni wasiojitambua,

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameziongeza kwa Tzs 2.3T zimefika $5.8b toka $4.8b mwezi March | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri.​

"Hakuna kama Samia "​

Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo, Akiba hii ya fedha za kigeni ni muhimu sana kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo in EAC kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 4.5 mfukulizo.

Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya Tshs 10trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya Tshs 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 500b, kujenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi na mengine mengi bado amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na kufikia jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo mzuri sana,

Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifiki na kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku Tshs 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye,

Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,

Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kulipa madeni ya nje,

Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,

Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1970739
Tumia akili kusifia basi, 4.8 +2.3 inakua 5.8? Au umelogeka?
Sifa zinahitajika lakini sio kwa kiwango cha kijinga namna hii,
Mnafanya tuonekane tunasifia bila akiri
 
Kaiongezea kutoka mfukoni kwake?

Hongera zake
 
Jamaa huyu ni mpuuzi mkubwa kwa kuandika ujinga wake kwa kutumia FAKE numbers.
Fake numbers zipi?

Chadema awamu hii huu mziki hamchezi tikiseni vichwa tu,

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Nani kakwambia Loan sio income wewe Chadema?

Loan ni income pia liability,

Wacha akope maadamu anakopesheka kwa hizo riba za 0.56% hadi 2%

Hata kama mimi ningekopa tu ili kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wangu

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Fala sana wewe. Pimbi unashabikia mkopo ndio maana tunakuwa na maisha magumu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Back
Top Bottom