Tanzania tuna chuma lakini inashangaza tupo bize kukusanya skrepa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.

Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
 
Hivi survey au exploration zimeshafanyika ili kujua kuna chuma kweli?

Maana hawa Viongozi corrupted wangashauza na kuchukua 10 percent zao.

Kwasababu hata hao Adani au Ambani groups au Mital wanadili na Steel Industry kama sikosei.
 
Laana ya kutawaliwa na CCM
 
CCM ni laaana, kila anayeingia madarakani anataka utajiri wa Wizi
 
CCM imetuzuia kufikiri? hii ya maisha!?
Steel industry Ina siasa ya ajabu sn dunia hii, jichanganye km nchi kamwage pesa kwe mradi wa chuma uone, marekan mwenyew analia na faulo za china na Japan, c kwamba waafrica c ni wajinga hvyo ila waliotangulia washaweka mifumo ambayo inahitaji akili uvumilivu, siasa na mambo mengi sana kuiingia,
 
Hivi exploration imeshafanyika ili kujua kuna chuma kweli?

Maana hawa Viongozi corrupted wangashauza na kuchukua 10 percent zao.

Kwasababu hata hao Adani au Ambani groups au Mital wanadili na Steel Industry kama sikosei.
Changamoto kubwa iliyopo ni watu wengi kuanzia wananchi hadi viongozi kuwa na fikra tegemezi (umasikini wa fikra).
Kila kitu wanategemewa wageni, wenyewe hatuwezi. Kuchimba making, gas, kuendesha bandari, kujenga barabara..... tuwape wachina, waarabu, wazungu...
Kizazi cha sasa hakijui maana ya Uhuru waliopigania wazee wetu.
Bahati mbaya hata wale wachache walioona harakati za Uhuru waliobaki wamejiunga kwenye huo upuuzi.
Mapinduzi ya fikra na hatimaye matendo ndiyo msingi wa maendeleo ya nchi.
 
Hivi survey au exploration zimeshafanyika ili kujua kuna chuma kweli?

Maana hawa Viongozi corrupted wangashauza na kuchukua 10 percent zao.

Kwasababu hata hao Adani au Ambani groups au Mital wanadili na Steel Industry kama sikosei.
chuma cha tanzania kina grade ya chini, ukilinganisha na urusi ukrane romania na iran, madini chuma yapo kila mahali hapa kwenye nyanya yapo tatizo ni kujua ukiprocess utapata faida?
 
Back
Top Bottom