Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mitaani siku hizi watu wanabeba Kila kinachonaswa na sumaku!Vyuma watachimba vizazi vinavyokuja, Kwa sasa ni kupita na bandari, ngorongoro na vile vinavyoonekana Kwa macho!
Hapo Sasa!Hivi exploration imeshafanyika ili kujua kuna chuma kweli?
Maana hawa Viongozi corrupted wangashauza na kuchukua 10 percent zao.
Kwasababu hata hao Adani au Ambani groups au Mital wanadili na Steel Industry kama sikosei.
Laana ya kutawaliwa na CCMCCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Kubwa Sana. Yaani mpaka kwenye majumba yetu wamo waokota skrepa kama ilivyo kwa watu wa kubeti!Laana ya kutawaliwa na CCM
Halafu wanatusaidia kufanya usafi wa mazingira. Wezi wadhibitiwe tu.Vyuma watachimba vizazi vinavyokuja, Kwa sasa ni kupita na bandari, ngorongoro na vile vinavyoonekana Kwa macho!
Usafi wa wapi!?Halafu wanatusaidia kufanya usafi wa mazingira. Wezi wadhibitiwe tu.
Usafi waa chooni.Usafi wa wapi!?
Recycling ya kung'oa vyuma vya madaraja? Halafu hiyo recycling inatokana na chuma kinachozalishwa wapi?Recycling hufanyika dunia nzima, lengo ni kuondoa uchafu
CCM ni laaana, kila anayeingia madarakani anataka utajiri wa WiziCCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Bila Aibu. Na wizi wao ni wa kimfumo!CCM ni laaana, kila anayeingia madarakani anataka utajiri wa Wizi
Kuna mahali nimepita Jana, nikaambiwa haya majengo mawili yanayojengwa ni ya Amos Makala hahahhahaaha nikaelewa kwanini amekua mropokajiBila Aibu. Na wizi wao ni wa kimfumo!
Hawahojiwi na kuhojika!Kuna mahali nimepita Jana, nikaambiwa haya majengo mawili yanayojengwa ni ya Amos Makala hahahhahaaha nikaelewa kwanini amekua mropokaji
Steel industry Ina siasa ya ajabu sn dunia hii, jichanganye km nchi kamwage pesa kwe mradi wa chuma uone, marekan mwenyew analia na faulo za china na Japan, c kwamba waafrica c ni wajinga hvyo ila waliotangulia washaweka mifumo ambayo inahitaji akili uvumilivu, siasa na mambo mengi sana kuiingia,CCM imetuzuia kufikiri? hii ya maisha!?
Changamoto kubwa iliyopo ni watu wengi kuanzia wananchi hadi viongozi kuwa na fikra tegemezi (umasikini wa fikra).Hivi exploration imeshafanyika ili kujua kuna chuma kweli?
Maana hawa Viongozi corrupted wangashauza na kuchukua 10 percent zao.
Kwasababu hata hao Adani au Ambani groups au Mital wanadili na Steel Industry kama sikosei.
chuma cha tanzania kina grade ya chini, ukilinganisha na urusi ukrane romania na iran, madini chuma yapo kila mahali hapa kwenye nyanya yapo tatizo ni kujua ukiprocess utapata faida?Hivi survey au exploration zimeshafanyika ili kujua kuna chuma kweli?
Maana hawa Viongozi corrupted wangashauza na kuchukua 10 percent zao.
Kwasababu hata hao Adani au Ambani groups au Mital wanadili na Steel Industry kama sikosei.