utakuwa umefeli intreview traCCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Kapewa mchina anataka kuchimba,kwa kasi ya uchimbaji madini ya wachina tza sidhani ndani ya miaka kumi ijayo tza itakuwa na madini yatasomwa kwenye historia.Vyuma watachimba vizazi vinavyokuja, Kwa sasa ni kupita na bandari, ngorongoro na vile vinavyoonekana Kwa macho!
TRA hapa imekuwaje tena?utakuwa umefeli intreview tra
ni kama haulo sawaTRA hapa imekuwaje tena?
Mkataba maslahi ya Tanzania yamezingatiwaje?Kapewa mchina anataka kuchimba,kwa kasi ya uchimbaji madini ya wachina tza sidhani ndani ya miaka kumi ijayo tza itakuwa na madini yatasomwa kwenye historia.
Hawa jamaa Wanapiga kazi hatari kazi ya mwaka wanapiga kwa mwezi,wametumwa pesa aisee.
Siko sawa kivipi? Ushawahi fika Liganga na Mchuchuma?ni kama haulo sawa
Nani alikuambia wazee wetu walipigania uhuru au walipigania maslai yao.Changamoto kubwa iliyopo ni watu wengi kuanzia wananchi hadi viongozi kuwa na fikra tegemezi (umasikini wa fikra).
Kila kitu wanategemewa wageni, wenyewe hatuwezi. Kuchimba making, gas, kuendesha bandari, kujenga barabara..... tuwape wachina, waarabu, wazungu...
Kizazi cha sasa hakijui maana ya Uhuru waliopigania wazee wetu.
Bahati mbaya hata wale wachache walioona harakati za Uhuru waliobaki wamejiunga kwenye huo upuuzi.
Mapinduzi ya fikra na hatimaye matendo ndiyo msingi wa maendeleo ya nchi.
Mkataba maslahi ya Tanzania yamezingatiwaje?
Mbona mababu zetu waliweza kutengeneza mikuki imara kabisa ambayo ukikichoma kitoweo kinaanguka hapo hapo.chuma cha tanzania kina grade ya chini, ukilinganisha na urusi ukrane romania
Sheria ya mikataba ya Tanzania unaijua? Kama wabunge tu hawapewi ndiyo huko gogu itakuwepo? Au umeandika tu bila ya kutafakari?
chuma cha kutengeneza mkuki ni tofauti na chuma cha kutengenezea engene.Mbona mababu zetu waliweza kutengeneza mikuki imara kabisa ambayo ukikichoma kitoweo kinaanguka hapo hapo.
Engene ndiyo nini. Hata kama ulitaka kumaanisha "Engine" bado unatakiwa utuambie utofauti wake unatokana na nini?chuma cha kutengeneza mkuki ni tofauti na chuma cha kutengenezea engene.
hiyo ni shule ingine mkuu, sio kila chuma kinafaa kila mahala, inategemea na atomic tracture ya kila ferric compoundEngene ndiyo nini. Hata kama ulitaka kumaanisha "Engine" bado unatakiwa utuambie utofauti wake unatokana na nini?
Engine inamchanganyiko wa vyuma ina cast iron kwenye crank shaft aluminium kwenye pistons nk.chuma cha kutengeneza mkuki ni tofauti na chuma cha kutengenezea engene.
Sasa wewe unaijua *Structure" na hiyo "ferric compound" ya huko Liganga?hiyo ni shule ingine mkuu, sio kila chuma kinafaa kila mahala, inategemea na atomic tracture ya kila ferric compound
Ndio maana Lissu aliwambia nyie watu wa Mbinga, babu zenu hawakwenda shule kama nyie lakini walikua akili kuwazidi.Na ilipo chuma yapo makaa ya mawe mzoga kapewa fisi ( mchina)anachekaje.
Kuyeyushia chuma ni rahisi sana kwa makaa ya mawe.
Wananchi eneo husika wajifunze kuyeyushia chuma kwa level ndogo ndogo wauze chuma viwandani makaa ya mawe si yapo.
Unaweza jenga vyungu vya udongo au matofari ya udongo kuyeyushia chuma Kwan wazee watu walifuaje chuma zamani kabla ya ujio wa wageni
Wakaona wamdake!Ndio maana Lissu aliwambia nyie watu wa Mbinga, babu zenu hawakwenda shule kama nyie lakini walikua akili kuwazidi.
Unapewa chuma unapewa makaa ya mawe tena karibu alaf unaomba msaada kwenye nchi za jangwani.
π€·πΏββοΈ
Swali zuri ππSasa wewe unaijua *Structure" na hiyo "ferric compound" ya huko Liganga?
Baada ya Uhuru, maneno na vitendo vyao vilionesha kuunganisha na kuwaendeleza wananchi wote bila ubaguzi.Nani alikuambia wazee wetu walipigania uhuru au walipigania maslai yao.
Walichojua ni kumuondoa mkoloni tu basi na sio baada ya mkoloni kuondoka tunafanyaje ndo maana miaka 60 Africa imekwama hatujui tuvae sketi au bukta tunaelea elea tu