Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #41
Hii ya kujipeleka utumwani nimeipenda sana!Sasa hivi ubinafsi unaosababisha kujipeleka utumwani kwa wageni umekuwa sera.
Fikra zao hazikuendana na vitendo vyaoBaada ya Uhuru, maneno na vitendo vyao vilionesha kuunganisha na kuwaendeleza wananchi wote bila ubaguzi.
Zile fikra na matendo zingeendelezwa sasa hivi matokeo yangekuwa maturity sana.
Sasa hivi ubinafsi unaosababisha kujipeleka utumwani kwa wageni umekuwa sera.
Ingekuwa masharti ya kwenda utumwani ni mepesi asingebaki kijana wote wangeendaHii ya kujipeleka utumwani nimeipenda sana!
Mababu zetu walitekwa na kupelekwa utumwani ila kizazi hiki tunajipeleka wenyewe utumwani huku tunashangilia kwenda utumwani!
Hilo eneo limekewa bondi ya mkopo bado hawajamaliza kulipa mkopoutakuwa umefeli intreview tra
Allen mbona uko spidi kuandika nyuzi zenye hoja dhaifu sana? Hujui kuwa vyuma vinavyookotwa hutumika tena (recycling)? Hujui kuwa pamoja na faida za kiuchumi pia inasaidia usafi? Kuokota vyuma chakavu na kuviuza sio umaskini. Ni shughuli halali ambayo huhusisha wengi. Hao wanaookota ni sehemu tu ya huo mnyororo. Wanaong'oa reli na vyuma vya madaraja ni wahalifu wanaotakiwa kukamatwa. Najua yote haya unaelewa ila umeamua kujifanya mpumbavu ili kupotosha kwa makusudi.CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Fikra zao ziliendana na vitendo, uthibitisho ni kupata Uhuru, elimu na afya kwa wote (hadi wanaoitumia vibaya wakipata madaraka), hamasa za kilimo Bora, vyama via ushirika, pembejeo, ...Fikra zao hazikuendana na vitendo vyao
Sasa ni kwa nini sisi tuwe bize na skrepa Kwa vyuma vilivyozalishwa nchi zingine wakati sisi tunao uwezo wa kuzalisha chuma chetu wenyewe?Allen mbona uko spidi kuandika nyuzi zenye hoja dhaifu sana? Hujui kuwa vyuma vinavyookotwa hutumika tena (recycling)?
Tumefeli vyote tukaamua kuwapa wawekezaji bora ya wakoloni kuliko wawekezajiFikra zao ziliendana na vitendo, uthibitisho ni kupata Uhuru, elimu na afya kwa wote (hadi wanaoitumia vibaya wakipata madaraka), hamasa za kilimo Bora, vyama via ushirika, pembejeo, ...
Hata hivyo, kwa sasa uwekezaji njia kuu za uchumi (wageni), BRN, mikopo ya kibiashara,... havitakuwa na tija kwa mlalahoi.
nilisimuliwa na engineerSasa wewe unaijua *Structure" na hiyo "ferric compound" ya huko Liganga?
Aisee!!nilisimuliwa na engineer
Ungekuwa mtu ambaye huna exposure yoyote ningekujibu.. ila kwa sababu kwa makusudi umeamua kuwa mpumbavu ili mradi uwe against serikali ya CCM naona uendelee hivyohivyo ulivyoamua.Sasa ni kwa nini sisi tuwe bize na skrepa Kwa vyuma vilivyozalishwa nchi zingine wakati sisi tunao uwezo wa kuzalisha chuma chetu wenyewe?
Kwani chuma kinazalisha asilimia ngapi ya uchafu kwenye miji yetu hadi uone kuwa hao waokota chuma kama ni wasafisha miji na hiyo nayo uione kama ni ajira rasmi?
Sasa hiyo "Exposure" ndiyo ingenifanya nione ni sawa sisi watanzania kuwa waokota skrepa badala ya kuchimba chuma chetu wenyewe?Ungekuwa mtu ambaye huna exposure yoyote ningekujibu...
Najua kabisa wewe sio mjinga. Unachokifanya hapa ni upotoshaji wa kipuuzi.Sasa hiyo "Exposure" ndiyo ingenifanya nione ni sawa sisi watanzania kuwa waokota skrepa badala ya kuchimba chuma chetu wenyewe?
Tatizo naona unanishambulia bila ya sababu. Mimi naona sio sawa watu wetu wawe bize kuokota Skrepa wakati sisi tuna chuma Cha kutosha kutosheleza mahitaji yetu ya matumizi ya chuma.Najua kabisa wewe sio mjinga. Unachokifanya hapa ni upotoshaji wa kipuuzi.
Wewe hujui hiyo ni biashara kubwa tu duniani?Tatizo naona unanishambulia bila ya sababu. Mimi naona sio sawa watu wetu wawe bize kuokota Skrepa wakati sisi tuna chuma Cha kutosha kutosheleza mahitaji yetu ya matumizi ya chuma.
Sielewi ni kwa nini unaona nafanya upotoshaji!!
Mambo ya kuwa skrepa ni biashara kubwa duniani, haihalalshi kutokuchimbwa Kwa chuma chetu.Wewe hujui hiyo ni biashara kubwa tu duniani?
Kwa hiyo chuma kikichimbwa skrepa hazitaokotwa? Mbona Allen umeamua kabisa kuwa mjinga... nini tatizo?Mambo ya kuwa skrepa ni biashara kubwa duniani, haihalalshi kutokuchimbwa Kwa chuma chetu.
Dunia nzima mahitaji ya chuma yapo juu Sana, kwa hivyo sisi kuokoteza chuma mitaani tena tusichochimba sisi wakati tunaweza kuanzisha mgodi wetu wa uchimbaji chuma, siyo sawa!
Sasa wewe unataka kusema chakula kinacholiwa mezani na makombo ni sawa?Kwa hiyo chuma kikichimbwa skrepa hazitaokotwa? Mbona Allen umeamua kabisa kuwa mjinga... nini tatizo?