MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Inawezekana pia hujui unachokiongea.Sasa wewe unataka kusema chakula kinacholiwa mezani na makombo ni sawa?
Skrepa unawezaje kuifananisha na chuma Cha kutoka mgodini? Wewe ndiyo unatakiwa ujishangae ni kwa nini unaona mgodi wa chuma na uokotaji wa skrepa mitaani ni mambo yanayofanana!
Kwani kafulila na Kitila Mkumbo, madalali wakuu wa mali za nchi hii wanasemaje, mkuu 'Kilewela'?CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Sasa wakishaweka mifumo ndiyo nasi tuwe mazuzu?Steel industry Ina siasa ya ajabu sn dunia hii, jichanganye km nchi kamwage pesa kwe mradi wa chuma uone, marekan mwenyew analia na faulo za china na Japan, c kwamba waafrica c ni wajinga hvyo ila waliotangulia washaweka mifumo ambayo inahitaji akili uvumilivu, siasa na mambo mengi sana kuiingia,
Umesema kweli sana! Fisiemu ni laana kwa nchi hii!CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Ungeweka tarakimu ingesaidia sana kulinganisha hizo 'grade', lakini naona ni maneno mengi tu bila ya ushadi mfupi tu wa kuonyesha unacho kizungumzia.chuma cha tanzania kina grade ya chini, ukilinganisha na urusi ukrane romania na iran, madini chuma yapo kila mahali hapa kwenye nyanya yapo tatizo ni kujua ukiprocess utapata faida?
Huyu mpumbavu! Hatakuelewa hata!Siko sawa kivipi? Ushawahi fika Liganga na Mchuchuma?
Issue sio uzuzu, km tumejpanga sawa, haya mambo hayahitaji hasira. Tuko nyuma vitu vingi but why tuko nyuma? Hapa ndo nahis panatuchanganya Africa maana tunatumia sana hisia badala ya uhalisiaSasa wakishaweka mifumo ndiyo nasi tuwe mazuzu?
😀😀😀akili za kiafrikaCCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi aina hii ya maisha!?
Na kwa njia hizi hizi kama maelezo yako yalivyokaa; ndipo tutakapotoka huko"nyuma" unakokuelezea wewe hapa.Issue sio uzuzu, km tumejpanga sawa, haya mambo hayahitaji hasira. Tuko nyuma vitu vingi but why tuko nyuma? Hapa ndo nahis panatuchanganya Africa maana tunatumia sana hisia badala ya uhalisia