Tanzania tunajifunza nini kuhusu uchaguzi wa Kenya? Tubadilike

Povu tulia mpapaswe na ccm ma keyboard warriors
mmejawa ujinga miaka yote leo aibu inawapata mnashindwa hata kuelezea kinachoendelea uUCHAGUZI WA KENYA na sio chafuzi kama mliofanya ndezi nyie na lile ZOMBI KUU lilionyakuliwa na ZILAELI
 
Mwisho wa siku bado upo chini ya ccm harakati za kwenye keyboard hazijawahi saidia kitu
 
Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10.

Serikali y a CCM mnalo la kujifanza hapa msijifanye hampo na hamna habari, angalieni chaguzi ya Kenya inavyofanyika pamoja na mapungufu machache lkn unaweza ona jinsi uchaguzi ulivyokuwa umekubalika na wananchi wa kenya upo huru.

CCM jifunzeni kuendesha mambo kwa demokrasia wapeni uhuru wananchi wapeni uhuru vyama vya siasa vifanye shughuli zao kwa uhuru kanini mnakuwa waogamno kupitiliza?

Mnakuwa waoga mpaka mnakuwa kama wajinga. miaka 60 ya uhuru kweli mnaishi kwa style hii?

sasa jifunzeni kupitia uchaguzi huu wa kenya acheni kubana watanzania kujielezea kwa uhuru.

azamtv nimewaona wapo mjini nairobi hapa wakituhabarisha kwa uzuri sana

Wacha tusubiri back to office report ya Mzee Kikwete itaishauri nini Serikali ya SSH.
 
Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10.

Serikali y a CCM mnalo la kujifanza hapa msijifanye hampo na hamna habari, angalieni chaguzi ya Kenya inavyofanyika pamoja na mapungufu machache lkn unaweza ona jinsi uchaguzi ulivyokuwa umekubalika na wananchi wa kenya upo huru.

CCM jifunzeni kuendesha mambo kwa demokrasia wapeni uhuru wananchi wapeni uhuru vyama vya siasa vifanye shughuli zao kwa uhuru kanini mnakuwa waogamno kupitiliza?

Mnakuwa waoga mpaka mnakuwa kama wajinga. miaka 60 ya uhuru kweli mnaishi kwa style hii?

sasa jifunzeni kupitia uchaguzi huu wa kenya acheni kubana watanzania kujielezea kwa uhuru.

azamtv nimewaona wapo mjini nairobi hapa wakituhabarisha kwa uzuri sana

Watanzania hawana cha kujifunza,licha ya mfumko wa kupanda Bei bidhaa mbalimbali ikiwemo petrol ,leo natokea Bukoba naenda Dsm njia nzima wananchi wanafanya maandamano ya Simba day bila wasiwasi.!
 
Ukweli ni kuwa uchaguzi wa Kenya ni kiini macho kama chaguzi nyingine za Afrika. Tanzania ni mbaya zaidi, lakini hakuna ahueni Kenya.
dah asee!! kweli kuna watu humu akili zao ni kama anapimiwa kibaba ndo anatumia matokeo yake ndo haya... ZA KUSHIKIWA NDO HIZI
 
Kuwa Tanzania imeshamiri demokrasia na kwamba hakuna sababu za malalamiko ya upinzani na kwamba wapinzani ni wachumia tumbo tu...bla bla bla.....nataka kujua jibu lao. Hivi wanapotazama uchaguzi wa Kenya wanaona nini?

Katika uchaguzi wa Kenya, unaona dhahiri watu wanavyokuwa na uhuru wa kumchagua wamtakaye
Unaona watu walivyo na uhuru wa kusema, kushutumu, kurekebisha na kukataa.

Unaona wagombea wote wanavyopewa haki sawa za kujitangaza katika vyombo vya dola
Unaona jinsi wanaoamini wameonewa walivyo na njia za ku address maonevu
Unaona mahakama zao zilivyo huru na kufanya maamuzi.

Au hamuoni?

Tukubali, tuko nyuma sana!
 
Back
Top Bottom