The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #121
Kwa hiyo DRC ni kubwa kuliko Russia? Vipi sasa Angola ni kubwa kuliko Tanzania,umewazidi kipi sasa kwa hoja mfu yako ya kutumia eneo?Wewe endelea kung'ang'ania upumbavu wako! Hio list yako ya pili eti Seychelles ina network kubwa ya barabara kwa 526Km[emoji23][emoji23][emoji23], Hivi unafikiri kutoka Kinshasa hadi Lubumbashi kuna umbali gani???
Ukubwa wa Seychelles tu kama nchi hauzidi 500 square Kilometers, itakuaje na road network kubwa kuliko Congo DRC, Zambia, Sudan n.k qu hata kama nchi nzima ingekua barabara.
Why wanahamisha?haya ni matumizi ya nguvu bila akili!wild animals na binadamu wanaweza kuishi pamoja bila tatizo!kile kipande cha barabara ndani ya Mikumi National park ni 50km only!kutoka Nata hadi kasane(Botswana)ni more than 350km na barabara hii inapita kwenye mbuga na makazi ya watu na maisha yanaendelea!mjini Kasane tembo,nguruwe mwitu etc etc wanakatiza mitaani!!Kwa taarifa yako barabara inayopita ndani ya mbuga ya Mikumi itaondoka itarudi ilikokuwa zamani Kilosa kwenda Muheza Tanga.
Wewe akili huna, na kiingereza chako hamna kitu, haya sasa Barabara kutoka Kinshasa hadi Lubumbashi ni kilometers 2000+, Seychelles whole road network combined ni 526Km sasa inaizidi vipi Congo apo??? Wewe ni kiande wa aina gani??? Sijaongelea ukubwa wa eneo kama kigezo nimeongelea ku prove uzwazwa wako apo kwa Seychelles. Najua kuna nchi zingine kubwa lakini unpaved unakuta jangwa tupu au zimejaa barafu, I understand that ila sio kwa Seychelles zumbukuku wewe!Kwa hiyo DRC ni kubwa kuliko Russia? Vipi sasa Angola ni kubwa kuliko Tanzania,umewazidi kipi sasa kwa hoja mfu yako ya kutumia eneo?
Nimeweka attachment hapo chini ya extensiveness of network au hujui lugha?
Una ujinga mwingi Sana kichwani,hii ni nini? Umeiona Tzn hapa iko namba ngapi? Nahisi kujadiliana na mtu mwenye akili kisoda .
View attachment 2088131
Ulifika hata chuo wewe? Ulisoma logic and reasoning topic au ulisoma elimu ya hapa na pale?.Wewe akili huna, na kiingereza chako hamna kitu, haya sasa Barabara kutoka Kinshasa hadi Lubumbashi ni kilometers 2000+, Seychelles whole road network combined ni 526Km sasa inaizidi vipi Congo apo??? Wewe ni kiande wa aina gani??? Sijaongelea ukubwa wa eneo kama kigezo nimeongelea ku prove uzwazwa wako apo kwa Seychelles. Najua kuna nchi zingine kubwa lakini unpaved unakuta jangwa tupu au zimejaa barafu, I understand that ila sio kwa Seychelles zumbukuku wewe!
Hapo kijiweni kwako ndo wanakudanganya wewe msomi sio? Jibu hoja sasa kama wewe msomi kweli acha taarabu za Khadija KopaUlifika hata chuo wewe? Ulisoma logic and reasoning topic au ulisoma elimu ya hapa na pale?.
It is labourious ku argue na low thinking mind kama yako.
Idiot 🚮🚮🚮Wewe ni mpumbavu na naku ignore,unajiuliza una ng'ang'ania ujinga na kutetea ujinga kwa faida ya nani sasa?
Nimeshamjibu jinga lenzio hapo hapo viwango na unaweza hata wewe ku google utavikuta sio kubeba kichwa kama mzigo usio na faida..
Wangeenda hata Nairobi barabara zao za jijini Nairobi itachukua miaka mingi sana Dar kufikiaKazi iendelee!
Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi.
Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa na Vinchi masikio kama Rwanda na Uganda?
Lazima kuna tatizo mahala maana haiwezekani kila kitu cha kutumia akili zetu sisi ni WA mwisho isipokuwa vitu vilivyowekwa na nature tuu.
Wakati tunajipiga kifua kwenye flyovers na madaraja ya suspension bridge kama la Kigongo-Busisi ,huko Jinja Uganda vipo siku nyingi Sana.
View attachment 2086670
View attachment 2086671
View attachment 2086672
Matuta ni TZ tu 😀 . Matuta highway wapi na wapi. Yani hawa viongozi sijui hawatembei nje na kuona jinsi wenzetu wanavyofanya. Sijawahi kuelewa why unaweka speed limit ya 80km/hr highway. Hii speed limit ni ndani ya airport hapo Texas George Bush Interntional!... wakuu; kwa mliotembeatembea nchi za watu huko; hivi barabara zao zimewekewa matuta kama za hapa kama njia ya ku-control speed?
Shida unavuta bangi kabla ya kunywa hata chai ndio maana unaropoka yaani ushapoteza direction.Na wewe ni taahira tu uko kama chawa! Hujaelewa alichoandika unajibu ujinga!
Amemuachia nani? Kwa nini hakuimaliza? Aliacha kipi kinachofanya Kazi?
Na ndio maana Tzn hakuna tunachoweza kuwazidi watu kwa sababu za akili za kijinga kama hizi za kina mwendazake.
No focus ni kushika kila sehemu matokeo yake ndio haya sasa, yaani typical akili za Kitanzania.
Barabara hujamaliza unashika kingine nacho kimeishia njiani, wenzetu wamejenga reli imeisha inafanya Kazi sisi sasa ni maneno ya kijinga kama haya yak
Huyu Mwamba daaa'Nataka niwambie stawangusha atakayepanga kunikwamisha atakwama yeye' Hata mim kwenye kujitafutia ridhiki skubali mtu anikwamishe ni Falsafa ninayoitumia Sana,RIP mwambaAmemuachia nani? Kwa nini hakuimaliza? Aliacha kipi kinachofanya Kazi?
Na ndio maana Tzn hakuna tunachoweza kuwazidi watu kwa sababu za akili za kijinga kama hizi za kina mwendazake.
No focus ni kushika kila sehemu matokeo yake ndio haya sasa, yaani typical akili za Kitanzania.
Barabara hujamaliza unashika kingine nacho kimeishia njiani, wenzetu wamejenga reli imeisha inafanya Kazi sisi sasa ni maneno ya kijinga kama haya yako.
Sijui huu uzi unahusu idadi ya kilometer za lami au ubora wa bara .kama ni idadi ya kilometres mbona sisi tupo mbali sana .huwezi kujrnga barabara zote kwa lami kwa kiwango cha grade A ila inawezekani ukawa na km chache zenye hadhi ya grade AAcheni utani nyie,
Hakuna inchi yeyote afrika mashariki na kati inaifikia tanzania kwa barabara nzuri,
Labda muwe ni wale wa pinga pinga
RubbishHuyu Mwamba daaa'Nataka niwambie stawangusha atakayepanga kunikwamisha atakwama yeye' Hata mim kwenye kujitafutia ridhiki skubali mtu anikwamishe ni Falsafa ninayoitumia Sana,RIP mwamba
Imekuwaje tena?Ona hili poyoyo nalo,Kuwa ccm sio kutumia masaburi kufikiria unless uniambie kwamba kutetea ujinga ndio utaratibu wa Chama.
Ndio hawa wanasema zenji kubwa kuliko bara🤣Wewe endelea kung'ang'ania upumbavu wako! Hio list yako ya pili eti Seychelles ina network kubwa ya barabara kwa 526Km[emoji23][emoji23][emoji23], Hivi unafikiri kutoka Kinshasa hadi Lubumbashi kuna umbali gani???
Ukubwa wa Seychelles tu kama nchi hauzidi 500 square Kilometers, itakuaje na road network kubwa kuliko Congo DRC, Zambia, Sudan n.k qu hata kama nchi nzima ingekua barabara.
Mtanzania ajenge barabara kama hyo sehemu ya pori kama hpo, kwanza ni anasa pili wataibuka watu kubeza matumiz mabaya ya kodi. Tukiona kwa wenzetu macho yanatutokaNajadiliana na kilaza na mpofu si tu wa macho bali akili..
Mwisho narudia kukueleza tunaposema barabara Bora ni zina meet criteria zote hapo juu.
Wenzetu wanaposema tunajenga barabara ni barabara kweli sio ujinga ujinga unaofanyika huku Tzn afu mnapiga mapambio.
Hii hapa Fly over inajengwa Kampala sasa linganisha na ule ujinga wa pale Tazara na Ubungo[emoji116]
View attachment 2088028
View attachment 2088029
View attachment 2088030
taja ndugu yangu,inawezekana naropoka kweli!!!Acha kuropoka,tembea Tzn uone.Kuna mikoa mingi Sana Tzn hii haijaunganishwa na lami.Ukitaka niambie nikutajie.
Rukwa- Katavi,taja ndugu yangu,inawezekana naropoka kweli!!!
Mkuu tulikwamishwa, Ila kwa Sasa mambo ni bambam na Rais SamiaKazi iendelee!
Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi.
Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa na Vinchi masikio kama Rwanda na Uganda?
Lazima kuna tatizo mahala maana haiwezekani kila kitu cha kutumia akili zetu sisi ni WA mwisho isipokuwa vitu vilivyowekwa na nature tuu.
Wakati tunajipiga kifua kwenye flyovers na madaraja ya suspension bridge kama la Kigongo-Busisi ,huko Jinja Uganda vipo siku nyingi Sana.
View attachment 2086670
View attachment 2086671
View attachment 2086672
mh,mi nipo geita natoka geita mpk kahama barabara ya lami,labda unaongelea njia ya mkato kupitia bugarama, nijuavyo haipo tanroad njia hii, majuzi tu nilitoka geita nikapita kahama,nzega,tabora,itigi,manyoni,dodoma mpaka dodoma kote lami. sometimes back nilikuwa kasulu wachina wako kule wanafanya kazi nzuri kabisa ya kuunganisha mkoa wa kigoma na mikoa mingine pia nchi jirani maana kuna barabara inayopita buhigwe inaenda mpaka mpakani mwa burundi. nijuavyo katavi kigoma. kuna kilomita 216 zinajengwa kutoka katavi,rukwa,kigoma mpaka mkoa wa tabora n.k. ndugu yangu kuna kazi inafanyika kwa kweli usiongelee njia unazopenda wewe kupita ongelea maslahi mapana ya taifa na vipaumbele vya barabaraRukwa- Katavi,
Rukwa- Kasesya/Zambia Border,
Katavi-Kigoma,
Katavi-Tabora,
Kigoma-Tabora,
Songea-Msumbiji border,
Songea-Morogoro,
Kigoma-Kagera,
Mbeya-Tabora/Singida,
Arusha-Musoma/Mara
Arusha-Simiyu,
Geita-Kahama-Katavi.nk nk
Zote hizo ni mavumbi,hapo sijataja barabara za shortcut baina ya Mkoa na Mkoa kwa mfano Tanga-Manyara-Singida,Geita-Shinyanga-Tabora,Songwe/mlowo-Kilyamatundu-Muze-Majimoto-Kibaoni-Mpanda.,, Sumbawanga-Muze-Majimoto-Sikonge-Tabora nk nk