Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Mkuu tutajie watu ambao sio Watz ambao wako kwenye nafasi za maamuzi, mana aiwezekani tuwe tunaongozwa na wakimbiziHuwezi ukawa Rais wa Marekani kama hujazaliwa kwenye Taifa la Marekani. Acha ushamba
Nchi inahitaji wazalendo, ukiona watu wamelalamika kaa ukijua hao watu ambao ni wakimbizi walio kwenye nafasi za maamuzi si wazalendo , kitendo wao kuwa si wazalendo kwa nchi yao ndo kimefanya tuwashitukie ila kama wangekuwa wazalendo Wala tusinge jua kama si watanzania.Ukisoma historia ya Tanzania, Mwalimu J.K Nyerere alipata tabu sana kuwafundisha Watanzania dhana ya uraia.
Nyerere alisimamia uraia wa Tanzania kama kitu ambacho mtu ambaye hata si mzawa anaweza kuwa nacho, kwa kiapo.
Jambo hili lilimletea upinzani mkubwa kutoka kina Christopher Kassanga Tumbo, na hata jeshini.
Mpaka akaletewa jaribio la mapinduzi na wanajeshi mwaka 1964. Akavunja jeshi na kuliunda upya kwa aibu kubwa.
Mpaka Nyerere akafanyiwa uasi na wanajeshi ambao hawakutaka kuongozwa na watu wasio wazawa.
Professor Paul Bjerk kaandika vizuri sana katika "Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and tge Establishment of Sovereignty in Tanzania, 1960 -1964".
Ukisoma utaona kabisa Nyerere alivyopigania uraia wa Tanzania uwe na maana kubwa zaidi ya uzawa, na jinsi Watanzania wengi walivyokuwa hawajaeleea hilo somo.
Na mpaka leo, bado hawajaelewa hilo somo.
Wanaona mtu akizaliwa nchi nyingine, au akiwa na wazazi waliozaliwa nchi nyingine, hawezi kamwe kuwa raia wa Tanzania.
Xenophobia tu.
Jamii forum Kuna wakimbizi wengi sanaSifa mojawapo ya mtu masikini ni wivu uliopitiliza. Sasa kama mtu kawa raia hata wa kuomba tu, kunashida gani akipata uongozi?
Embu acheni xenophobia, ingekuwa nyadhifa kama ya urais kweli tungeongea lakini hayo mengine hamna shida.
Dunia kwa sasa inakwenda kasi, kama bado waishi kama mkoloni lazima itakushinda.
Tunapoelekea miaka ya mbele kutakuwa na uraia pacha ni suala la muda tu. Nahisi tukifikia hiyo steji utajirusha ghorofani kuona mtu anauraia wa Gambia na Tanzania halafu kawa waziri.
Nadhani tujikite kwenye kuangalia taaluma na uwezo wa mtu katika kufanya kazi ndio tutapata maendeleo ya kweli na sio kuweka viraza kwenye position fulani kisa tu ni Mtanzania wa kuzaliwa.
Hoja ni mapandikizi wa Kagame Tanzania, wanachukua uraia huku kutengeneza njia ya M23Unataka kuniambia mtu aliyezaliwa hapa ana uzalendo kuliko aliyezaliwa kwingine akachukua uraia WA TZ. hivi mafisadi wote waliozaliwa TZ na wakafilisi nchi hii(bila kutaja majina) ni wazalendo?
Mwenzenu Kagame ana mawaziri wengi na government workers waliokuwa naturalized citizens na Mambo yanaenda vizuri.
Kwa hiyo CDF hajui asemalo?Rais akusaidie kwa utumbo uliouandika bila datails? Kutaja majina ya nchi ndiyo kwako imeshakuwa ukweli?
Kwanza muelewe ile kazi top pale kama siyo system huzipati kabisa.
Mapandikizi hadi USA wapoRais akusaidie kwa utumbo uliouandika bila datails? Kutaja majina ya nchi ndiyo kwako imeshakuwa ukweli?
Kwanza muelewe ile kazi top pale kama siyo system huzipati kabisa.
Ndio useme wewe alikua anamaanisha niniKwenda wewe. Mnajifanya mnajuwa kumbe hamjuwi lolote.
Nyinyi ni watu ambao hazicharge kabisa vichwani mwenu, hata CDF hamjamuelewa kwanini kayasema yale.
Siyo kiivyo,na si afya kwa nchi yenye katiba kama yetu.Kama mtu ni WA nchi na amekana uraia WA nchi akachukua uraia WA TZ ni haki yake kuwa hapa na anastahili cheo chochote
Mwambieni Mama Samia Mwalimu Nyerere mwaka 1964 Jeshi la Tanganyika lilitaka kumpindua baada ya kulazimisha Wazungu kuendelea kushika nyadhifa za kijeshi wakati siyo Watanganyika na leo tena Rais anaambiwa na Jeshi kuna watu ambao si raia wamekamata nyadhifa za kimaamuzi.Kwenda wewe. Mnajifanya mnajuwa kumbe hamjuwi lolote.
Nyinyi ni watu ambao hazicharge kabisa vichwani mwenu, hata CDF hamjamuelewa kwanini kayasema yale.
Acha Mkuu Apumzike Mmemziba Pumzi Anahema Kwa TabuFaiza Kaa kimya 🤐 chutama chutama. Bora ukaye kimya tu.
Basi pigieni kelele tatizo la kukosekama uzalendo, sio tatizo la kukosa wazawa katika uongozi.Nchi inahitaji wazalendo, ukiona watu wamelalamika kaa ukijua hao watu ambao ni wakimbizi walio kwenye nafasi za maamuzi si wazalendo , kitendo wao kuwa si wazalendo kwa nchi yao ndo kimefanya tuwashitukie ila kama wangekuwa wazalendo Wala tusinge jua kama si watanzania.
We ni mbeya ndiyo maana unaogopa kuwataja maana hauna ushahidi zaidi ya kusikia kwenye vijiwe vya kashata.Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo wao hapo EAC ni wao tu.
Ebu tufukirie yatuatayo!
Namba 4 Kuna tetesi siyo wa kwetu..wanasema anatoka Kwa MR Pk. Hata namba 2 kiasili siyo wetu. Ulikuwaje hadi mfumo ukampitisha namba 2 wakati siyo wetu...Je mfumo nao upo compromised.
Namba 4 aliongoza madini je madini yetu yapo salama? Namba 4 leo yupo umemeni Je imekuaje?
Mh. Rais tafadhali fanyia kazi haya. Kuna watu wanajifanya ni wahaya au wasukuma kwenye cabinet ila ni wa Kule.
leo umeme hamna..SGR inapelekwa Rwanda badala ya Kongo? How .! Kwann tusiimarishe bandari yetu ya Kigoma. Mzigo ukitoka Dar unaenda Kigoma unapitia lake Tanganyika unafika Kongo why lazma upite Rwanda.
Hivi why kila siku kesi tunashitakiwa na kushindwa.. why.?
CDF Asante sana.
Rais tusaidie.