Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

We Jamaa mbona una mdomo hivo, hivi una elimu kiasi gani unayijitapa nayo hum? Kumuelekeza mtu bila kumnanga utapungukiwa nini? Kama hujui si unakaa kimya tu, kwani lazima uchangie kila kitu
 
kuna kitu kinaitwa petrodolar hiki ndio kilimuua Gadhaf pale alipotaka mafuta yake yaanzwe kuuzwa kwa dhahabu
Hapo ingekuwa safi sana, nipe dhahabu nikupe mafuta, sio uchapishe minoti yako huko halafu unakuja kutupora rasilimali huku Africa
 
Unahitaji msaada wa "elimu dunia" maana na ya dini nina shaka kama imekukaa sawa sawa.
 
Update: 03/08/2019
Hatimaye ukweli umegundulika, kumbe Marekani ilikuwa inachapisha dollar nyingi kuliko ukuaji halisi wa uchumi wai na kwenda kuzisambaza duniani, na kwa kuwa kila kitu kinakuwa traded in dollar le shock ilikuwa inabebwa na mataifa mengine yanayotumia dollar kama base curreny. Sasa Marekani ili kuendelea kumaintain a high standard of life kwa wananchi wake imejikuta ikichapisha Trillions of dollars hewa ambazo kiuhalisia hazina back up ya dhahabu au mali yoyote ile ya ku-support hayo makaratasi wanayochapisha, ni kama wanaikopa dunia, kiasi kama wote tukisema turudishe dollar tulizonazo kwa serikali ya marekani ili iwezu redeemed kwa dhahabu ay mali zingine ni kwamba kutakuwa na excess ya dollar Trillion 22 ambazo zitakosa mali za kuwa redeemed with, yaani hawa mbwa wanaishi kwa kuchapisha pesa tu, hawafanyi kazi, ni wanaikopa dunia!
 
Hoja yako ni ya msingi sana ndugu sema kuna mataira watakuja na utahira wao apa kijifanya wako sahihi zaidi kwa elimu yao ya Ontario hahaha

Naunga mokono hoja lakin kwa nyongeza ya maelezo tofauti na yoko nitarudi
 
Jamani elimu ni muhimu sana.

Madhara ya shule za kujazwa ujinga yanajionesha wazi kwenye huu uzi.
Hapo wa kulaumiwa ni CCM na serikali kwa kueneza ujinga na umasikini nchini
 
Hoja yako ni ya msingi sana ndugu sema kuna mataira watakuja na utahira wao apa kijifanya wako sahihi zaidi kwa elimu yao ya Ontario hahaha

Naunga mokono hoja lakin kwa nyongeza ya maelezo tofauti na yoko nitarudi
Maelezo ya ziada kushibisha hoja ni vizuri, fanya hivyo
 
Marekani wanachapisha Trillions of dollars zaidi ya ukuaji wa uchumi wake ili kukabiliana na athari za COVID-19, dollar hatarini kudevalue
 
La maana uwe na viwanda vingi (vya kisasa) ili uweze kuuza kwa wingi nje
 
Hujui basics na historia ya currency nyamaza tu. Hujui hata kwann tume end up na different currency. Au unafikiri rich nations wanakupenda sana wawe waaminifu kwako.
Unakuja na mi details miingi kuitetea dollar kumbe hujui real economics zinaoperate vipi
 
Saaaaaaaaafi mkuu. Unajua unachooongea. Safi sana. Watu kama hawatakuelewa hapa wanahitaji msaada mkubwa sana
 
Kwa kifupi wamarekani hawafanyi kazi. Wanakula bata, pombe, starehe, sports, kuimba imba na kuigiza kwa wingi. Wanaishi kiujanja ujanja kinoma. So haishindikani kufanya kitu kama hicho
 
Acha kum attack mleta mada. We ongea fact watu wakuelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…