FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #121
Ndio wamelazimishwa, kwa sababu yeyote aliyejaribu kuupinga mfumo huu wa kinyonyaji na kibeberu aliishia kuuwawa kabisa. Mfano Saddam Hussein aliposema kwamba hatauza tena mafuta yake kwa dollar, kiasi kwamba marekani akichapisha pesa zake ili akanunue mafuta ingeshindikana, aliishia kunyongwa tu. Hata Gaddafi nae, alipoanza kutaka kuuza mafuta yake kwa dhahabu kiasi kwamba Marekani akichapisha dollar zake ashindwe kwenda kununua mafuta, aliishia kuuwawa kama kibaka mtaani. Yule Hugo Chavez wa Venenzuela alipoleta fyoko fyoko kama hizi kwenye mafuta yake aliishia kitaka kupindukliwa tu, mwishowe Venezuela ikaingia kwenye mdodororocmkubwa wa kiuchumi sababu ya US sanctions. Ukisikia petro dollar ujue ni petro dollar kweli.Sisi ni wanunuzi sio wazalishaji lakini wazalishaji na wanunuzi wakubwa duniani kama china,Japan,korea,uae...hujiulizi kwanini exchange rate ya biashara kwao bado usd ndio kipaumbele?wamelazimishwa?
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
sijaelewa hapa, anaongelea matumizi ya dollar kwenye circulation ya kawaida humu ndani tz? au kwa international transaction??!!??Ni ukoloni mamboleo tuu. Ukienda dzonga au kwa madiba hiyo dollar unaweza usiione.mkononi.mwako hata mwaka mzima.
Ulimbukeni tuu wa wabongo,wacongo,wazambia ndio watu wanaona usd issue.
Wapunguze kuchapisha pesa (quantitative easing), otherwise wataendelea kutuumizaUSD ni pegged currency
Hiyu mama sina imani nae..,