FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #121
Mfumuko wa bei nchini Marekani umefikia 7.9% , kiwango cha juu kabisa tangu 1989, wamechapisha dollar nyingi mno kiasi zimetapakaa duniani kote na dunia inashindwa kuzinyonya kwa haraka hivyo kinachofuata ni kushuka Kwa nguvu ya manunuzi